Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

yani mm yule shemej ningemtafuna bao 8 za uhakika
 
Sawa ila siku nyengine uache ujinga watu wanazini hadi na wehu wewe huyo kikojozi msafi kakushinda!
Mimi Kutembea na shemej yangu haifai,
ntakuja vuruga mahusiano ya watu.

Afu urafiki wangu na jamaa UTAKUA rehani kwa tamaa za kijinga jinga.

Naheshimu Sana mipaka ya ushemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ushemeji, DeepPond ulitakiwa umpige maji ya baridi ulipomfikisha home kabla ya kumpeleka kulala. Hapo ungemsaidia kupunguza hangover na maluweluwe yote ya ulevi. Ila pongezi kwako kwa kumsaidia Shem asiliwe kimasiharani.
 
πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…