Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

Pamoja na ushemeji, DeepPond ulitakiwa umpige maji ya baridi ulipomfikisha home kabla ya kumpeleka kulala. Hapo ungemsaidia kupunguza hangover na maluweluwe yote ya ulevi. Ila pongezi kwako kwa kumsaidia Shem asiliwe kimasiharani.
Mkuu,
huo MDA nisingeupata kwa wakati ule, ukizingatia wife alkua anapiga Sana cm MDA wote huo.

Na vitu Kama hivi kumuelekeza wife anivilie ntachelewa namuogesha shemeji yangu sidhan Kama angenielewa kabisa.

Na ningeng'ang'ania hivo ningetoka alfajiri maana mtu mwenyewe alkua msumbufu Sana,

Afu pale TU pulukushani zote zile bado nmefika home kwangu tayar inakimbilia saa 10 kasoro.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
mi siku zote huwa nna mipaka yangu.

Siwez kutembea na mwanamke aliewahi kutembea na rafiki yangu, hata Kama tayari wameshaachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko kama mimi tu.Yan najua kabisa huyu mke au dem wa brother au dogo au mshkaji anapita hapa n mimi naenda hapo aisee haiwezekan..ya naona uchafu kabisaa tena ni kama unatembea na mwanaume mwenzako
 
Aisee Wee jamaa unaroho ngumu Sana[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise, anyway Hongera sana jaribio kama hilo nililishinda siku ya christmass maana alikuwa hatulii yule mke wa mtu kunishika vidole mara apeleke mkono kwenye usawa wa zipu na kushikashika dushe ilikuwa hatari ila nilimfikisha salama kwake na maisha yakaendelea…
 
Kwa hyo ukamuacha hivo hivo



Dah mistake kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…