Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!


Kweli kabisa
 

Hivi unakulaje takataka imelewa hivyo?
 
Unanitisha Sasa[emoji848]
sikutishi ndio ukweli wenyewe yaani umeshamvulisha na chupi kbs ...atafanya kila awezalo kukukamata na hutakuwa na ujanja tena wa kukwepa tena

jihadhari tu kila atakapokuita tambua inatafutwa mbinu ya kukuingiza kingi...na akiona humtimizii takwa lake ipo siku atakusingizia unataka kumbaka
 
Haiwezekani mkuu,
Nina boundaries zangu tayar, hawezi kuzivunja.

Sema mkuu
Kuna visa vimetokea Jana asbh na Leo asbh.
Vinaendana na ulisema Hapa.

Leo jion nkitoka kazin natakiwa kupitia uko kwake,

Kesho nikiamka vizur ntaleta Uzi apa[emoji4]
 
Mtu anavamiwa na akapata chansi ya kupiga simu anaacha kuita polisi akuite wewe!? Sawa basi tufanye hilo linawezekana kabisa kipombepombe haya na wewe unapewa taarifa ya mtu kuvamiwa unakwenda na sime na rungu lako badala ya kuripoti polisi upate escort yao!?

Dah! Hii ya leo imezidi kuwa ya moto tunaungua
 
Hivi hii ni aina gani ya kipera katika vile vipera vya hadithi?

Wataalamu wa kiswahili tusaidieni tafadhari.
 
Kuna siku nilisahau nimefikaje home... always nakunywa just for funny na afya sizidishi level yangu.... that's my principal
 
Hivi Unaujua uvamizi au unaongea TU kiushabiki,
Pale kulikua na uvamizi gani wa kuhitajika polisi.

Vitu vingine ukiwa mwanaume unamaliza tu mwenyewe kimtaa mtaa,

Sio kupiga piga piga yowe ovyo kusumbua mamlaka za serikali.

Aisee mkuu,
wee Ni mwanaume wa wapi unakua dhaifu hivyo?[emoji848]
 
Hivi hii ni aina gani ya kipera katika vile vipera vya hadithi?

Wataalamu wa kiswahili tusaidieni tafadhari.
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanini mkuu
 
Unajifanya mkosoaji , Ujuaji mwingi afu kumbe mbele kiza[emoji4].

Mkuu,
umesoma Uzi na kujibu kwa kukurupuka bila kuelewa ulichokiandika hapa.

Ebu kasome Uzi vizur afu urejee maswali unayojiuliza.

Utagundua Ni jins gani ulivyo nje ya mada.
 
Unaitwaje nikaupitie[emoji4]


Huo hapo, wa siku nyingi... long time kitambo...😅.

Poor Allen, tumepotezana tena.
 
Summary please.....

anaeweza kuifupisha tafadhali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…