Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

Kuna mrejesho nauandika khs kilichojiri asbh yake pamoja na leo nilipoenda kumjulia Hali.

Kiukweli Kuna vitu alifanya nikidhani ni pombe, ila vingine kanafanya akiwa hata hajalewa.
Usiache kunitag
 
Pep mama mtumishi anatamani ajaribu kulewa halafu tuone kama atakusaliti[emoji4]
 
Reactions: Pep
Ndio nyie mnafanya wanaume wa Dar wazidi kudharaulika.!!!!
Hivi ulishindwa nini kumbutua hata viwili ndo urudi kwako?
Umenikera sana we jamaa
 
Nmeusoma,
Hiyo stori inaendana na ya kwangu juzi.

Sam alkua anakuheshim Sana.

Yuko wapi skuhz, kaoa? Vipi ukaribu wenu n.k?
 
Mkuu hongera kwa jinsi ulivyomsadia shemeji yako na uaminifu wako kwake. Pia wewe ni mwandishi mzuri. Unaweza pia kutumia talent hii kuingiza pesa.
Vingine anatia kinyaa msomaji, yaan shemeji kama alitoa ushuzi nao unauandika??
 
Hivi nyie mnaokaaga na kuita visa vya watu chai mnatumia vigezo gani?? Acheni ungese[emoji1603][emoji1603]
Shida ni kwamba wanaanza kuisoma stori halafu wanapoelekea mwishoni wanakuwa wameshakadiria mwisho huo utakuaje. Wakikuta ni tofauti na wanavyofikiria lazima waiite "chai", hawana namna.
 
Na Mimi naomba nikurudishe nyumbani siku Moja Kasie ukiwa umelewa chakari.


Woow...!!!

It should start with an evening day out to a place where we,ll start with cherish then cheers 🥂 (Amarula, 4cousins, Robertson and Pearlbay, both sweet and red) then dancing 🕺 💃🏽 then carry me home .....😍

Eagerly waiting for the day, am ready are you...!!?😉
 
Nmeusoma,
Hiyo stori inaendana na ya kwangu juzi.

Sam alkua anakuheshim Sana.

Yuko wapi skuhz, kaoa? Vipi ukaribu wenu n.k?

Yaani kuhusu huyu mwanaume alinipenda haswaa ila ndo hivyooo bangi ilinizidi kichwani...

Hajaoa hadi leo bado mseja japo tumepotezana... labda anasubiri tuzeeke pamoja 🤪.
 
Yaani kuhusu huyu mwanaume alinipenda haswaa ila ndo hivyooo bangi ilinizidi kichwani...

Hajaoa hadi leo bado mseja japo tumepotezana... labda anasubiri tuzeeke pamoja [emoji2957].
Wow![emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…