Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano.
Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota wakiandaa pambano la hao wanaoitwa wa kali na huyu mwamba.
Muonekana anafanana sana ni Wilder.
Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota wakiandaa pambano la hao wanaoitwa wa kali na huyu mwamba.
Muonekana anafanana sana ni Wilder.