Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Nashindwa ku upload video. Ila huyu mwamba ana record ya ajabu. Tayari ana record ya kuua m1. Wa4 kuwa serious hospitali na m1 kukimbiaWeka Video ya aliyekimbia!
Hata Vibonde,Daah nimemchungulia yutubu hatari huyu mwamba, au hawa jamaa vibonde anaopigana nao??
Ubarikiwe mkuu kwa kupandisha video hapa. Hiki chuma kikikutana na fury, jushua na yule tipwatipwa wataona shughuli yake.Chuma hiki apaView attachment 1802561
Hamna cha vibonde mkuu. Dharau tu. Mwindine ambaye naona wana m under rate ni yule mwingereza Eubank anayepigana uzito wa katijuu. Ana roho mbaya huyo!😁😁😁😂😂Daah nimemchungulia yutubu hatari huyu mwamba, au hawa jamaa vibonde anaopigana nao??
Huyo jamaa ni noma sanaHahahaha, mkuu ukipata muda hebu leta maoni kuhusu chuma kimoja kinaitwa Israel adesanya
Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano.
Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota wakiandaa pambano la hao wanaoitwa wa kali na huyu mwamba.
Muonekana anafanana sana ni Wilder.
Hatari yake sio poa....Huyo jamaa ni noma sana
Bora we unajua boxing.Huyu mnigeria bado hajaiva..
Hawezi pambana na Joshua au Fury..Kwa sasa
Ingawa potential ipo kubwa
Akiiva Sawa Sawa ma ma promota hawawezi acha pesa ipotee ..
Hivi fury ana skills gani haswa kumzidi Afe! Au joshua nae ana skills gabi kumzidi mwamba Afe. Kwanza wote waoga.Hana chochote huyo, ni hard hitter tu. Hana mbinu za Boxing, yaani bad foot work, slow speed, poor body movement, poor defense nk.
Hivi fury ana skills gani haswa kumzidi Afe! Au joshua nae ana skills gabi kumzidi mwamba Afe. Kwanza wote waoga.
Wilder kidogo ndio anaonekana kuwa na skills.
Nimejaribu kuangalia pambano la fury na klistov sikuona chochote zaidi ya kugusana gusana kwa vi punch visizo na madhara.
Afe ni swala la mida tu.