TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo ni siku ngumu, MBEYA tuna msiba mkubwa sana. Tumempoteza aliyekuwa Katibu wa ( 641 X 640 ).jpg

Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake.

Amina
 
Apumzike anapostahili.
Corona bado ipo tuchukue tahadhari
 
Back
Top Bottom