TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

Makamanda baadhi Waache upotoshaji hajafa kwa covid kifupi alipata ajali akawa anatibiwa muhimbili msiba upo Mbweni na kesho Nitakuwepo Kumuaga Shemeji Yangu Mtu poa sana sana sana miaka ya nyuma Tukimtembelea home Forest Anatuacha sebuleni Tunaangalia movie baadae Anatukaribisha msosi wa maana Tunarudi Kwetu Sokomatola R.I.P Boyd
 
TANZIA TANZIA TANZIA
IMG-20210114-WA0030.jpg

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA MKOA WA MBEYA.

Kwa Masikitiko Makubwa Tunawatanganzia Kifo Cha Kamanda Mwenzetu BOYD MWABULANGA

Enzi Za Uhai Wake Amewahi Kukitumikia Chama Chetu Kama Katibu Wa Mkoa Kwa Mafanikio Makubwa.

Pia Amewahi Kuwatumikia Wananchi Kama Diwan Wa Kata Ya Forest Katika Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Na Katika Uchaguzi Wa October 2020 Alikua Ndiye Mgombea Wetu Wa Udiwan Wa Kata Hiyo Ya Forest.

Kifo Chake Kimetokea Huko Dar es Salaaam Alipokua Akiendelea Na Matibabu.
Tunaendelea Kuwasiliana Na Familia Kwa Taratibu Zaidi Za Msiba Na Tutawajulisha Kila Hatua Inayoendelea.

REST IN PARADISE KAMANDA BOYD

IMETOLEWA NA
GEORGE TITO
KATIBU MKOA WA MBEYA
 
TANZIA TANZIA TANZIA
View attachment 1677866

RIP kamanda Boyd
 
Huyu ndiye Boyd Nazareth?
 
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake.

Amina
Mwangaza wa milele umwangazie Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe, R. I. P Kamanda.
 
Back
Top Bottom