Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakika!Pigo kubwa sana kwetu Chadema na wapenda haki kiujumla
Mbele yako nyuma yetu kamanda [emoji120]
Maendeleyo Mami hayana chama .Rip kamandachan
View attachment 1677687
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya , Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest , aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake , Amina