TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

..Pole kwa familia, ndugu, jamaa, na marafiki.

..MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
 
R.I.P kamanda Boyd, moja ya watu mlionifanya niwe hivi nilivyo leo.

Wewe, Mpwiniza, Mzee Swila na Sugu mlinifanya niamini katika mapambano na kuamini kila kitu kinawwzekana.
mkuu habari za siku
 
Ana heri maana hakufa akiwa dhambini. Amefia kwenye haki. Rest well kamanda
 
Until we take our final breath he will live in our heart, his love will light our way. Her memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing him!

R.I.P kamanda!
 
Lala salama Boyd Mwabulanga.
Pole sana kwa wote walioguswa na msiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…