sikuzamwisho
Member
- Apr 12, 2019
- 48
- 185
R.I.P ndugu yetuView attachment 1677687
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya , Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest , aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake , Amina
SureRIP Boyd. Harakati ulianza zamani.
RIP kamanda BoydTANZIA TANZIA TANZIA
View attachment 1677866
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA MKOA WA MBEYA.
Kwa Masikitiko Makubwa Tunawatanganzia Kifo Cha Kamanda Mwenzetu BOYD MWABULANGA
Enzi Za Uhai Wake Amewahi Kukitumikia Chama Chetu Kama Katibu Wa Mkoa Kwa Mafanikio Makubwa.
Pia Amewahi Kuwatumikia Wananchi Kama Diwan Wa Kata Ya Forest Katika Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Na Katika Uchaguzi Wa October 2020 Alikua Ndiye Mgombea Wetu Wa Udiwan Wa Kata Hiyo Ya Forest.
Kifo Chake Kimetokea Huko Dar es Salaaam Alipokua Akiendelea Na Matibabu.
Tunaendelea Kuwasiliana Na Familia Kwa Taratibu Zaidi Za Msiba Na Tutawajulisha Kila Hatua Inayoendelea.
REST IN PARADISE KAMANDA BOYD
IMETOLEWA NA
GEORGE TITO
KATIBU MKOA WA MBEYA
Huyu ndiye Boyd Nazareth?TANZIA TANZIA TANZIA

Unamkosea marehemu. Alipata ajaliCorona imembeba kamanda.
R.I.P marehemu.
Rest in peace kamanda
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake.
Amina
RIP Boyd.

Mwangaza wa milele umwangazie Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe, R. I. P Kamanda.
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake.
Amina
Unamaanisha amekufa kwa Corona?Apumzike anapostahili.
Corona bado ipo tuchukue tahadhari