"Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

Huwezi ponya nchi na sukuma GANG, mlifanya uharibifu mkubwa. Trillion mlizoiba ziko wapi. MaCCM yote ni MAJIZI.

hii nchi itapona na katiba mpya..
Nyie ndiyo mmeassisi hiyio sukuma gang na imeota mizizi sasa msubiri iwatafune na maumivu tu kwenda mbele, kule kenya kabila linaloamua rais wa nchi ni Kikuyu. Sasa Sukuma gang ndiyo itawapangia nani boss wenu. Mpaka sasa wakulima na wafugaji waijua sukuma gang.Nadhani wafugaji unawajua ni nani
 
Unapoteza muda hakuna atakayekupa katiba mpya, mlaumu aliyewadanganya viongozi wako wakatoka bungeni just for only one section of the proposed constitution, etiiiiiii serikali tatu, ujinga mtupu. Mtalia na kusaga meno iliyopo inatosha
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Kwahiyo kabla JK hajaingia madarakani nchi ilikuwa tajiri sana? Very shallow reasoning!
 
Dawa ni kuipiga chini CCM, miaka zaidi ya 60 kila siku ni porojo tu! Tuwape wengine nao wakizingua wapigwe chini! Ccm wamejipa hatikiliki ya nchi hii kwa hiyo wanafanya watakavyo! Ndio mana wanafunga watu kwa ajili ya kutetea katiba mpya!
Labda wafe wote,ila kwenye sanduku la kura hatuwawez. Niwez wazoefu
 
Akili yako haina akili.
 
Unapoteza muda hakuna atakayekupa katiba mpya, mlaumu aliyewadanganya viongozi wako wakatoka bungeni just for only one section of the proposed constitution, etiiiiiii serikali tatu, ujinga mtupu. Mtalia na kusaga meno iliyopo inatosha
Akili yako haina akili.
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Nakuunga mkono.
Huyu mtoto wa mjini jk ana mtandao hatari kuuvunja na ni hatari kwa afya ya taifa letu.
Ukweli umeanza kuwa wazi sasa hasa teuzi za hivi karibuni....ameingiza watu wake..
 
Hao ndio huitwa 'wenye nchi' na tunawatumia kama washauri wetu tunapokwama.
 
Kwani hii nchi haina wazee kiasi kwamba Boys 2 men ndiyo wawe na nguvu zaidi? Je! Hii nchi Deep state wake wanaridhishwa na hali ya mambo kwenye nchi yetu au Deep state ni sehemu mojawapo ya Boys 2 men?
 
Nafikiri Deep State yetu ni kama ipo kwenye majaribio, inachanganywa na inajikuta washaingia kingi na wanabaki kushangaa. Kiufupi HAITOSHI na haiogopwi na hao Boys 2 Men..
 
Nakuunga mkono.
Huyu mtoto wa mjini jk ana mtandao hatari kuuvunja na ni hatari kwa afya ya taifa letu.
Ukweli umeanza kuwa wazi sasa hasa teuzi za hivi karibuni....ameingiza watu wake..
Ni kitu gani huwa wanasahau huko ikulu?
 
Nchi hujengwa na Taifa.
Ukibomoa utaifa, utashangaa unabomoa nchi pia.
 
Ni juzi bingwa mmoja amekiri kuwa mitandao inayo nguvu kubwa so mi nashauri kwa hili taasisi CCM lililojigeuza joka kuu ,tuandamane humu humu watatusikia .sisi siyo visiki Mkuu , wasiposikia lazima tutapata njia mbadala ya kuwajulisha watusikie.
Maandamano hayatasaidia chochote bro. Hizi ni mind games, na power kubwa ipo kwenye number ya watu walioelimisha mind. Sasa kama tuna 15% educated/reasonable people, dont expect kupata results. Yani 75% ni kama robite au zombies ambao hawaelewi chochote kuhusu dunia. Ila wanachokijua ni wanachoweza kukiona na kukiexperience. Usitegemee. Never. Mpaka elimu itumike ndo watu wataweza ku reason.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hata tukipata Katiba Mpya nani Rais Mzalendo atakayeisimamia? Katiba Mpya inaweza ikabaki kama kitabu cha kawaida tu.
Yu are right. Nilikua najaribu kuwaambia watu kua. Rushwa inaweza penya popote. Haijalishi katiba mmeibadilisha kiasi gani au hata katiba ikitoka mbinguni. Ila kuna michezo michafu mingi inaweza kuchezeshwa.
Nafikiri tunachohitaji ni pure wazalendo. Kuna kazi kubwa inatakiwa ifanyike kwenye maandalizi, especially tunahitaji watu ambao wako spiritual ambao wako motivated na legacy sio pesa.
Viongozi wengi wa africa ni wafanya biashara mkuu. Sio leaders

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…