Bradley Lowery is no more,pumzika kwa amani dogo

Looo, alipigania sana uhai wake. Mungu ampokee malaika wake.
 
Sunderland imeshuka daraja
Bradley amekwenda na maji

pole sana Jermain Defoe
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Umauti ulimpata lini? maana makadilio ya kifochake yalipitiliza![emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
RIP dogo...

BTW alikuwa shujaa wa nini??
Utawaweza watz kwa unafiki?
Kuna watu hapa Tz wanafia maslahi ya taifa lakn wanapotezewa sana..
Ila kwa kuwa tu huyu rangi nyeupe na alikuw shabiki wa timu flani basi anaitwa shujaa
 
Utawaweza watz kwa unafiki?
Kuna watu hapa Tz wanafia maslahi ya taifa lakn wanapotezewa sana..
Ila kwa kuwa tu huyu rangi nyeupe na alikuw shabiki wa timu flani basi anaitwa shujaa
Kumbe kuwa shabiki wa Sunderland ni ushujaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…