Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawaweza watz kwa unafiki?RIP dogo...
BTW alikuwa shujaa wa nini??
Kumbe kuwa shabiki wa Sunderland ni ushujaa??Utawaweza watz kwa unafiki?
Kuna watu hapa Tz wanafia maslahi ya taifa lakn wanapotezewa sana..
Ila kwa kuwa tu huyu rangi nyeupe na alikuw shabiki wa timu flani basi anaitwa shujaa