Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Aliupigania kwa muda gani??Looo, alipigania sana uhai wake. Mungu ampokee malaika wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliupigania kwa muda gani??Looo, alipigania sana uhai wake. Mungu ampokee malaika wake.
Mkuu mi bado nimetoka kapa. Umuhimu wa huyu dogo ukiuondoa ushabiki ni upi?dogo alikuwa mtu muhimu sana. stadium of light alipigiwa sana standing ovation.. nina imani sunderand management na team nzima wana huzuni kubwaa
Pamoja na ugonjwa hatari huyu mtoto hakukata tamaa katika maisha,muda wote alikua na USO wa tabasamu.Hakua mbaguzi kama unavyoona ukaribu na DefoeMkuu mi bado nimetoka kapa. Umuhimu wa huyu dogo ukiuondoa ushabiki ni upi?
Orayt... kwahiyo ushabiki wake kwa Sunderland ndo umemfanya afahamike. Maana kuna watoto kwa maelfu barani Afrika na kwingineko wanapambana zaidi ya huyu dogo, sema bahati mbaya hawana "Sunderland" yao ya kuwafanya wafahamike.Pamoja na ugonjwa hatari huyu mtoto hakukata tamaa katika maisha,muda wote alikua na USO wa tabasamu.Hakua mbaguzi kama unavyoona ukaribu na Defoe
Mmh..mkuu maneno makali sanaSunderland imeshuka daraja
Bradley amekwenda na maji
pole sana Jermain Defoe