BRAKE kupata moto..

BRAKE kupata moto..

Mkuu kamalizane kwanza na relativity theory![emoji16][emoji16][emoji16]
Mafundi uchwara tatizo likiwa dogo watajifanya daaah!!! Aisee!!! Daah!!! Em ngoja kwanza!!!! Ataingia chini ya uvungu na hapa na pale na kijasho kinamtoka huku mwenye chombo unasema kwa tatizo hili niandae 50k hapa.kumbe ni jambo la kufanyiwa bure tu kulipa ihsani.

Ila sina gari hivyo napita kimya kimya tu mother.tusubiri wajuvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta fundi/gerage moja tu ambayo utakuwa unatengeneza gari yako hapo itakuwa rahisi kufahamika na sometimes itakuwa ngumu kukupiga bei...

Nakushauri acha kutumia hizi brake fluid za 2000/= ni mabovu mno mafuta haya yanasababisha raba kwenye cylinder kuungua na zinakatika baada ya muda mfupi
Zipi n nzur kaka?? Zinauzwaje na zinaitwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom