Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mother Confessor ukipita mitaa hii naomba lift please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngojea brake ipoe😄Mother Confessor ukipita mitaa hii naomba lift please
Maza mafundi wetu ni dhaifu![emoji16][emoji16][emoji16]Ahsante chief,.tatizo mafundi wetu uchwara wanakuza tatizo mpaka unaona bora uliache kwa muda...
Ahsante kwa ushauri.
Mafundi uchwara tatizo likiwa dogo watajifanya daaah!!! Aisee!!! Daah!!! Em ngoja kwanza!!!! Ataingia chini ya uvungu na hapa na pale na kijasho kinamtoka huku mwenye chombo unasema kwa tatizo hili niandae 50k hapa.kumbe ni jambo la kufanyiwa bure tu kulipa ihsani.
Ila sina gari hivyo napita kimya kimya tu mother.tusubiri wajuvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pasua kichwa sana.Mkuu kamalizane kwanza na relativity theory![emoji16][emoji16][emoji16]
Pasua kichwa sana.
Jana nimekaa usiku nikawaza sana naona maswali yanakuja mengi kuliko topic yenyewe.nahitaji muda zaidi wa kuhakikiwa japo katika Uislamu kuna maandiko yanaashiria haya mambo ila sijajua ufafanuzi wake zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha basi Taifa zima tutakuwa dhaifu,..maana kila kitu dhaifu si bunge si nini lolMaza mafundi wetu ni dhaifu![emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa mangojeaNgojea brake ipoe😄
Maza mafundi wetu ni dhaifu![emoji16][emoji16][emoji16]
Zipi n nzur kaka?? Zinauzwaje na zinaitwajeTafuta fundi/gerage moja tu ambayo utakuwa unatengeneza gari yako hapo itakuwa rahisi kufahamika na sometimes itakuwa ngumu kukupiga bei...
Nakushauri acha kutumia hizi brake fluid za 2000/= ni mabovu mno mafuta haya yanasababisha raba kwenye cylinder kuungua na zinakatika baada ya muda mfupi
Bei sio tatizo mwambie Dot 4 sio nzuri zinaunguza atumie Dot 3.Nakushauri acha kutumia hizi brake fluid za 2000/= ni mabovu mno mafuta haya yanasababisha raba kwenye cylinder kuungua na zinakatika baada ya muda mfupi
Dot 3 brake fluid ya TOTAL