Brand gani ina Fast Charger bora?

Kama wastani wa shilingin11000, Ila niliagiza allexpress

Sent
 
Samsung A20
A20 inakubali fast charging ila ni 15w tu.

Qualcom fast charging version 2 kupanda itafanya kazi kwako, mfano aliopost mdau hapo juu ni v3.0 inamaana kwako itafanya kazi pia.

Njia rahisi ya kuzipata hapa kwetu tafuta charger za flagship za zamani kama s6,s7,s8 etc

Na ili wasikupige download app ya Acubattery playstore kisha chomeka simu kwenye charger kisha weka lock simu isikilizie kama dakika 5 hivi then washa kioo nenda kwenye charging angalia upande wa screen off charging kama imezidi 2A (2000mA) ujue yenyewe hio fast charging, chini ya hapo ni chaja tu ya kawaida.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…