AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
We hujui unachokiongea, hebu endelea kujifunza kwanza.Lakini Wireless charger hucharge haraka kuliko USB cable chargers kwa kuwa haitumii wire.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hujui unachokiongea, hebu endelea kujifunza kwanza.Lakini Wireless charger hucharge haraka kuliko USB cable chargers kwa kuwa haitumii wire.
Kuna fast charge za aina tofauti kulingana na namna simu inavyosapoti.
- Kuna simu zinazosapoti fast charging kwa fixed current na fixed voltage(Mfano: 5V, 2A). Kwa aina hii ya simu basi ukipata charger yoyote inayotoa 5V, na current ya kuanzia 2A na kuendelea, basi itafaa kutumika kwenye simu hiyo.
- Kuna adaptive fast charging ambayo simu inapokea voltage na current tofauti kulingana level ya battery kwa wakati huo, kwa mfano battery ikiwa na 0% - 50% , simu inapokea 12V, 0.5A, battery ikifika 51%-80% simu inapokea 7V, 1.5A, kuanzia 81%-100% simu inapokea 5V,2A. Sasa huu ni mfano tu. Kwa mfano huu ni lazima upate charger inayokubalika na simu husika, kwa sababu kunakuwa na mawasiliano kati ya simu na charger.
Asante mkuuHaikubali mwisho 10W, tafuta chaja ya kawaida yenye uwezo wa 5V na 2A.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simu za Xiaomi siku hizi zina kitu inaitwa turbo charging, ni balaa. Simu inajaa kabla hujamaliza kuiweka chaji