Brand gani ina Fast Charger bora?

Brand gani ina Fast Charger bora?

Fast charging simu siyo charger ila usb cable. Waliosoma physics wanajua kwamba energy in Watts = f(resistance, volts, amps).
Kwa nyongeza (V=Voltage in Volts; I=Amperage in Amps; R=Resistance in ohms) kutafuta P=Power (energy produced for charging), uhusiano uko hivi:

Ohm's law equation (formula):
V = I × R au and

the power law equation (formula):
P = I × V

Kimsingi charger yoyote imetengenezwa kutoa kiasi fulani cha nguvu umeme (P=I x V) kupitia USB cable ambayo imetengenezwa na wire zenye R=Resistance fulani. Kwa uhusiano hapo juu ni wazi kwamba USB Cable itapitisha nguvu ya umeme kulingana na resistance ya zake.
 
Fast charging simu siyo charger ila usb cable. Waliosoma physics wanajua kwamba energy in Watts = f(resistance, volts, amps).
Usiwapoteze watu , ni kweli waya pia unachangia kupata currents nzuri, Ila fast charger Ni charger yenyewe .
Fast charger zina processors ndani amabazo zinapima ni kiasi gani cha current kitoke na kwa muda gani

Sent
 
A20 inakubali fast charging ila ni 15w tu.

Qualcom fast charging version 2 kupanda itafanya kazi kwako, mfano aliopost mdau hapo juu ni v3.0 inamaana kwako itafanya kazi pia.

Njia rahisi ya kuzipata hapa kwetu tafuta charger za flagship za zamani kama s6,s7,s8 etc

Na ili wasikupige download app ya Acubattery playstore kisha chomeka simu kwenye charger kisha weka lock simu isikilizie kama dakika 5 hivi then washa kioo nenda kwenye charging angalia upande wa screen off charging kama imezidi 2A (2000mA) ujue yenyewe hio fast charging, chini ya hapo ni chaja tu ya kawaida.

View attachment 1450500
Duuh shukrani mkuu kwa haya madini
 
Kuna fast charge za aina tofauti kulingana na namna simu inavyosapoti.

- Kuna simu zinazosapoti fast charging kwa fixed current na fixed voltage(Mfano: 5V, 2A). Kwa aina hii ya simu basi ukipata charger yoyote inayotoa 5V, na current ya kuanzia 2A na kuendelea, basi itafaa kutumika kwenye simu hiyo.

- Kuna adaptive fast charging ambayo simu inapokea voltage na current tofauti kulingana level ya battery kwa wakati huo, kwa mfano battery ikiwa na 0% - 50% , simu inapokea 12V, 0.5A, battery ikifika 51%-80% simu inapokea 7V, 1.5A, kuanzia 81%-100% simu inapokea 5V,2A. Sasa huu ni mfano tu. Kwa mfano huu ni lazima upate charger inayokubalika na simu husika, kwa sababu kunakuwa na mawasiliano kati ya simu na charger.
 
Simu yangu inasumbua charge ikiisha kabisa inagoma kucharge kwa kutumia charger yake original hadi niibust kidogo kwa charger nyingine,tatizo ni nini hasa,simu itakuwa na shida au charger yake inashida?natumia Nokia 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwapoteze watu , ni kweli waya pia unachangia kupata currents nzuri, Ila fast charger Ni charger yenyewe .
Fast charger zina processors ndani amabazo zinapima ni kiasi gani cha current kitoke na kwa muda gani

Sent
Nimewapoteza kivipi wakati nimewapa somo kisayansi?

Specification za charger yoyote ni Power (P in Watts) kwa Voltage (V in Volts) na Amperage (I in Amps) i.e. P = V x I. Hii power hisafirishwa kupitia USB Cable au kwa ugunduzi mpya , wireless.

USB Cable nazo zina specification kulingana na aina ya wire zilizotumika kuzitengeneza kwa maana ya Resistance (R in ohms). Lakini Wireless charger hucharge haraka kuliko USB cable chargers kwa kuwa haitumii wire.

Kuniradhi kutokueleza zaidi. Ila ukitaka kuthibitisha hilo chukua charger yako na tumia USB Cable fupi na ndefu utaona tofauti ya muda wa simu yako kuwa charged. Rudi hapa kunipa mrejeshonyuma.
 
Mimi sikatai kuwa umetoa somo kisayansi , bali sayansi yako Ina mapengo sana,
Kwanza wireless chargers hazijawahi kuwa fasta kushinda wired , wired ni current conduction na wireless ni current induction ,
Pili urefu wa waya kweli una matter lakini sio kwa kiwango unachosema, natumia USB wire ya futi 9 na bado simu inajaa fasta
Shida yetu ilianza pale uliposema fast charger ni waya na sio charger , hapo waombe msamaha wananzengo

Sent
 
Kwa maana hiyo kuna simu ambazo hazisapot fast charger, si ndio umavyomaanisha
Kuna simu hazisapoti fast charger , na Kuna charger pia hazisapoti fast charger,

Ili uweze kuchaji fast , inatakiwa charger Kwanza iwe fast charger, huwa zinaandikwa kabisa au zinawekwa alama ya umeme, halafu pia uwe na simu compatible na fast charger , wakati flan charger moja inaweza isikubaliane na simu nyingine,

Sent
 
Nimewapoteza kivipi wakati nimewapa somo kisayansi?

Specification za charger yoyote ni Power (P in Watts) kwa Voltage (V in Volts) na Amperage (I in Amps) i.e. P = V x I. Hii power hisafirishwa kupitia USB Cable au kwa ugunduzi mpya , wireless.

USB Cable nazo zina specification kulingana na aina ya wire zilizotumika kuzitengeneza kwa maana ya Resistance (R in ohms). Lakini Wireless charger hucharge haraka kuliko USB cable chargers kwa kuwa haitumii wire.

Kuniradhi kutokueleza zaidi. Ila ukitaka kuthibitisha hilo chukua charger yako na tumia USB Cable fupi na ndefu utaona tofauti ya muda wa simu yako kuwa charged. Rudi hapa kunipa mrejeshonyuma.
Popote pale wireless haijawahi kuwa bora over wired, Tunaipenda Wireless kwa ajili ya portability ila interm of Transmission efficiency Wired is still the best
Pili swala la Fast charger sio USB cable bali ni ile adapter inakuwa built in support either fixed output au adaptive output lakini Lazima pia simu iwe na Hardware ya kusupport hio fast charging, USB wire ina matter kwa kiasi fulani kutegemea na wire zilizotengenezwa kwa hizi charger nyingi wanatumia silver zaidi ambayo ndio best conductor kwenye umeme.
 
+1
Nimeshangaa leo hii wireless iwe efficient over wired.

Sent
 
Simu yangu inasumbua charge ikiisha kabisa inagoma kucharge kwa kutumia charger yake original hadi niibust kidogo kwa charger nyingine,tatizo ni nini hasa,simu itakuwa na shida au charger yake inashida?natumia Nokia 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine inatoa amps ndogo sana, angalia juma ya charger ama download playstore app inaitwa ampere wakati unachaji ni amps ngapi zinaingia?
 
sasa mimi nina swali, unaposema fast charger inamaanisha simu yako inachajiwa haraka kulinganisha na chaja za kawaida...

sasa kwa mfano simu yangu ina 0% na ndio naianza kuichaji sasa hivi, je ndani ya nusu saa itafikisha % ngapi? Anaejua anisaidie
 
Kwanza inatakiwa simu iwe ina support fast charging technology ndipo utanufaika na matumizi ya fast charger.

Simu yenye fast charge technology, inaweza kutoka 0% - 50% ndani ya dakika 30. Inamaana ndani ya saa 1 inakuwa imefika 100%. Pia zinatofautiana kati ya aina za simu.....
 
sasa mimi nina swali, unaposema fast charger inamaanisha simu yako inachajiwa haraka kulinganisha na chaja za kawaida...

sasa kwa mfano simu yangu ina 0% na ndio naianza kuichaji sasa hivi, je ndani ya nusu saa itafikisha % ngapi? Anaejua anisaidie
Inategemea na ukubwa wa betri la SIMU yako.

Mwenye kitochi atajaza haraka kuliko mwenye smart.

Mwenye Tecno W3 (2500mAh) atajaza haraka kuliko mwenye tecno L8 (4000mAh) au mwenye infinix hot 8 (5000mAh).
 
sasa mimi nina swali, unaposema fast charger inamaanisha simu yako inachajiwa haraka kulinganisha na chaja za kawaida...

sasa kwa mfano simu yangu ina 0% na ndio naianza kuichaji sasa hivi, je ndani ya nusu saa itafikisha % ngapi? Anaejua anisaidie
Inategemea na aina ya charger pia na ujazo wa battery ya simu husika,pia fast charger zinakuja za Aina nyingi, mfano vooc inaweza kuchaji simu ya 4000mah , 0-50 , dk 30,

Sent
 
Back
Top Bottom