The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Salaam Members.
Nipo mbali na home kwa sasa nikijaribu kutafuta grease ya maisha, sasa mimi hua siyo mtu wa kuingiliana na watu au kupiga story sana isipokuwa kupeana salamu inapobidi kwa mazingira fulani tu.
Hivyo sasa kwa huku nilipo nimepanga ni-manipulate jambo fulani kwa ndani ya mwezi 1 au miezi 2 ili ninunue TV (Kubwa kwa saizi) ili tu kampani ya macho iwepo pamoja na kwamba nina PC, naona PC haitoshi peke yake.
Kwa bajeti , nimepanga isizidi 1.25M.
Hivyo kwa experience yako, unaweza share nami.
Experience ni muhimu sababu kuna jamaa kanunua StarX (kama sijakosea jina) na alitoa TSH 780K na imeanza kutoonyesha vizuri, nikamuuliza ulimuuliza nani kabla hujanunua akupe abc?
Alijibu kua muuzaji ndiyo alimshauri, nikajua tu huyu alilainika kirahisi. Kuirudisha imekua kipengele.