Chiferereji Cha jisatu
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 117
- 258
Chagua Hisence hutojuta,, npo na Hisence 43" 3yrs hsijawsh zngua nà almost nikama muda wote ipo on,,
Sawa maana kwa huku nilipo jamaa ameniambia 1,280,000 kwa inchi 55,Chagua Hisence hutojuta,, npo na Hisence 43" 3yrs hsijawsh zngua nà almost nikama muda wote ipo on,,
Ahsante, wewe upo wapiHio feedback numeipata kwa Haier , hisense sijapata
Kanda ya ziwa Ingia Kahama bei za vitu nzuri au Nzega kama utawezaSawa maana kwa huku nilipo jamaa ameniambia 1,280,000 kwa inchi 55,
Vp inafaa kwa huku kanda ya ziwa
Kariakoo Ndanda na muhondaAhsante, wewe upo wapi
Toa ushauri unohitajika au kaa kimya, mtoa mada haja hitaji wazo la biashara.😅😅Inasikitisha kwa sisi tunaotaka kupata kampani ya macho badala nikanunue nguruwe wa 100000 kila mmoja jumla niwe na nguruwe 12, nifuge half baadaye nije nipate mamilioni maradufu