Umesahau na pornographer.Naomba kuwasilisha hili wakuu
Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu)
Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa iende mjini..
Ila shida inakuja je unatengeneza matangazo ya Aina gani kwa jamii gani na unataget wateja wa Aina gan?
Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani.
Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma..
Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
Content creator tengenezeni tangazo bila kuonyesha kalio bila bila kuzungumzia ngono..
Hata kama unalenga kuwafikia sana vijana au watu wa uswazi Kuna content nyingi za matangazo za kuwafikia.(Kaa chini umiza kichwa content zipo nyingi sana za matangazo ya sabuni.
Ila mkiendelea na ubunifu huo na mkaona ndio matangazo sahihi ya sabuni bas hizo sabuni ad uchaguz wa oktoba tutakuwa tushazisahau na hazitakuwa na soko.
Vipi wewe unaweza kutembea na mche wa Wasafi Soap kutoka nao dukani ad kwako bila kuuficha kwny mfuko mwngne??
Kwa mnahitaji ya;
Photographer.
Videographer.
Content creator.
Graphics designer.
Digital marketer.
0692477610
Mkuu umetoa bango zuri sana lenye kuonesha unajielewa, chunga usiharibu kwny comments huku unaenda mbali.Awana pesa ya kunilipa wale
Hayo matangazo ya hiyo sabuni yanadhihirisha ni vitu gani vimewajaa kichwani hao waandaaji wake,hii inachekesha sana.Naomba kuwasilisha hili wakuu
Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu)
Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa iende mjini..
Ila shida inakuja je unatengeneza matangazo ya Aina gani kwa jamii gani na unataget wateja wa Aina gan?
Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani.
Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma..
Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
Content creator tengenezeni tangazo bila kuonyesha kalio bila bila kuzungumzia ngono..
Hata kama unalenga kuwafikia sana vijana au watu wa uswazi Kuna content nyingi za matangazo za kuwafikia.(Kaa chini umiza kichwa content zipo nyingi sana za matangazo ya sabuni.
Ila mkiendelea na ubunifu huo na mkaona ndio matangazo sahihi ya sabuni bas hizo sabuni ad uchaguz wa oktoba tutakuwa tushazisahau na hazitakuwa na soko.
Vipi wewe unaweza kutembea na mche wa Wasafi Soap kutoka nao dukani ad kwako bila kuuficha kwny mfuko mwngne??
Kwa mnahitaji ya;
Photographer.
Videographer.
Content creator.
Graphics designer.
Digital marketer.
0692477610
Vijana siku hizi wanawaza ngono 24/7 hata nyimbo zinahamasisha ngono tuUpo sahihi mno, naona clip nyingi za matangazo maudhui yake yanaashiria kama hizo sabuni ni maalum kwa kujichulia.
Athari ya hili ni kufanya hii sabuni kama kitu cha kihuni hivyo kutengwa na watu wenye staha zao ambao ndio hasa wanunuzi.
Aaaa wapi!Juzi nikiwa kwenye daladala ilikuwa imefunguliwa Wasafi fm nasikia tu wanainadi kwamba ina povu jingi na utelezi wa kutosha.
ilikuwa wakiisifia Kwamba inafaa kwa punyeto. Japo haikuwa moja kwa moja.
Post ya kimkakati ila na wewe jifunze sasa kuandika proposal, key concept, ToR etc ili unapoona corporate wanafeli basi una chip in your ideas na watu wanakupa kazi. Mfumo wa kuomba kazi kwa kukosoa tu bila kuleta workable solution ushapitwa na wakati.Naomba kuwasilisha hili wakuu
Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu)
Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa iende mjini..
Ila shida inakuja je unatengeneza matangazo ya Aina gani kwa jamii gani na unataget wateja wa Aina gan?
Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani.
Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma..
Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
Content creator tengenezeni tangazo bila kuonyesha kalio bila bila kuzungumzia ngono..
Hata kama unalenga kuwafikia sana vijana au watu wa uswazi Kuna content nyingi za matangazo za kuwafikia.(Kaa chini umiza kichwa content zipo nyingi sana za matangazo ya sabuni.
Ila mkiendelea na ubunifu huo na mkaona ndio matangazo sahihi ya sabuni bas hizo sabuni ad uchaguz wa oktoba tutakuwa tushazisahau na hazitakuwa na soko.
Vipi wewe unaweza kutembea na mche wa Wasafi Soap kutoka nao dukani ad kwako bila kuuficha kwny mfuko mwngne??
Kwa mnahitaji ya;
Photographer.
Videographer.
Content creator.
Graphics designer.
Digital marketer.
0692477610
Upo uzi unaoelezea watu mbalimbali waliotoa ideas kizembe na mwsh hawakunufaika na chochote.. Tunakua kujifunza mkuu haya ni mambo ya kukaa mezani kimkakati sio kuanika madini ya mamilioni hadi bilioni for fun.Post ya kimkakati ila na wewe jifunze sasa kuandika proposal, key concept, ToR etc ili unapoona corporate wanafeli basi una chip in your ideas na watu wanakupa kazi. Mfumo wa kuomba kazi kwa kukosoa tu bila kuleta workable solution ushapitwa na wakati.
Matangazo yote mpaka wawaweke wanawake wenye ndmk sjui msambwandaNikizungumza kama mtu wa marketing ngazi fulani ya elimu, nimeona makampuni mengi sana yana apply strategies kutoka marketing research proposals za miaka ya nyuma sana yani zinashindwa kwenda na wakati.
Ni kweli wasafi soap wamesahau kuwa maudhui haya ya uswahili wa vigoma na singeli vimekwishapita na wakati. Wakati huu vipo vitu vilivyoteka sana hisia za watu ambavyo wangeweza kuvitumia kutambulisha bidhaa na kuikuza.
Kwa utafiti mdogo tu, kwasasa zipo tasnia kadhaa ambazo zinafuatiliwa zaidi mfano, comedians especially stand up comedians, watu wa michezo hususani wachezaji lakini pia michezo hii ya tamthilia sitozitaja jina zimeteka asilimia kubwa sana ya watu wa jinsia zote, boss DIAMOND akaechinj na vijana wapange namna ya kupenya humu aisee hizi bidhaa zitafahamika sana.
Kama mpo humu watu wa wasafi soap wekeni milango wazi ya kupokea proposal za watu wenye mawazo yenye tija badalayake wekeni pembeni sifa na experience za makaratasi wengi wao wafanyakazi wenu wamekulia masaki wanakariri chunguzi za watu wengine, tunayoijua mitaa tupo mtaani.
Sio vyema kusema mlikurupuka ila kabla ya ku introduce bidhaa research ni muhimu, pili effective marketing strategy and planning na mwsh ni watu wa ku execute hyo plan.
All the best wasafi soap.
Kabisa Yaniπ€£Umesahau na pornographer.
Amna. Iyo nmejibu kwa utan tu atuwez kuwa serious mda wote mkuuMkuu umetoa bango zuri sana lenye kuonesha unajielewa, chunga usiharibu kwny comments huku unaenda mbali.
Hayo matangazo ya hiyo sabuni yanadhihirisha ni vitu gani vimewajaa kichwani hao waandaaji wake,hii inachekesha sana.KAuna mda wanahisi diamond ni mkubwa hivyo chochote watakachofanya kitaenda mjini
Uskute content creator ni babalevoπ€£.Hayo matangazo ya hiyo sabuni yanadhihirisha ni vitu gani vimewajaa kichwani hao waandaaji wake,hii inachekesha sana.
Kwel kabisa ila Sasa sio adi kwny matangazo ya biasharaVijana siku hizi wanawaza ngono 24/7 hata nyimbo zinahamasisha ngono tu
Hili ni balaaaaaa sabuni ya wapanda mnazi kwa mkono kumbe
Sawa mkuu.Post ya kimkakati ila na wewe jifunze sasa kuandika proposal, key concept, ToR etc ili unapoona corporate wanafeli basi una chip in your ideas na watu wanakupa kazi. Mfumo wa kuomba kazi kwa kukosoa tu bila kuleta workable solution ushapitwa na wakati.
Kwel kabisa mkuu umenena vyema.Nikizungumza kama mtu wa marketing ngazi fulani ya elimu, nimeona makampuni mengi sana yana apply strategies kutoka marketing research proposals za miaka ya nyuma sana yani zinashindwa kwenda na wakati.
Ni kweli wasafi soap wamesahau kuwa maudhui haya ya uswahili wa vigoma na singeli vimekwishapita na wakati. Wakati huu vipo vitu vilivyoteka sana hisia za watu ambavyo wangeweza kuvitumia kutambulisha bidhaa na kuikuza.
Kwa utafiti mdogo tu, kwasasa zipo tasnia kadhaa ambazo zinafuatiliwa zaidi mfano, comedians especially stand up comedians, watu wa michezo hususani wachezaji lakini pia michezo hii ya tamthilia sitozitaja jina zimeteka asilimia kubwa sana ya watu wa jinsia zote, boss DIAMOND akaechinj na vijana wapange namna ya kupenya humu aisee hizi bidhaa zitafahamika sana.
Kama mpo humu watu wa wasafi soap wekeni milango wazi ya kupokea proposal za watu wenye mawazo yenye tija badalayake wekeni pembeni sifa na experience za makaratasi wengi wao wafanyakazi wenu wamekulia masaki wanakariri chunguzi za watu wengine, tunayoijua mitaa tupo mtaani.
Sio vyema kusema mlikurupuka ila kabla ya ku introduce bidhaa research ni muhimu, pili effective marketing strategy and planning na mwsh ni watu wa ku execute hyo plan.
All the best wasafi soap.
sawa nilifikiri lbd wasafi wakuangalie.Kwaajili ya wateja
Kwel kabisa mkuu.Upo uzi unaoelezea watu mbalimbali waliotoa ideas kizembe na mwsh hawakunufaika na chochote.. Tunakua kujifunza mkuu haya ni mambo ya kukaa mezani kimkakati sio kuanika madini ya mamilioni hadi bilioni for fun.
Namsapot mtoa uzi.
π DahBaada ya kukwama kwenye interview