Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Wasafi hawana pesa ya kukulipa ila unakuja kuomba kazi JF 😂Awana pesa ya kunilipa wale

Soko gumu kwel. Bila watu wazuri kwny marketing na digital marketing. Biashara inakufa unaionaHiyo biashara ni ngumu sana,sijui ka hizo sabuni zitaweza kuliteka soko ukizingatia kuna wachina kama Niceone na softcare tayari wako sokoni muda mrefu.naona jamaa ana pesa ila hajui wapi awekeze.
Isije ikafa kama ilivyotokea kwenye sabuni ya kuogea ya REVOLA miaka hiyo.Upo sahihi mno, naona clip nyingi za matangazo maudhui yake yanaashiria kama hizo sabuni ni maalum kwa kujichulia.
Athari ya hili ni kufanya hii sabuni kama kitu cha kihuni hivyo kutengwa na watu wenye staha zao ambao ndio hasa wanunuzi.
JF Kuna pesa mzee ukiwe serious.. napokea Kaz nyng kupitia JF..Wasafi hawana pesa ya kukulipa ila unakuja kuomba kazi JF 😂
Wasafi watanionea wapi mkuu 🤣sawa nilifikiri lbd wasafi wakuangalie.
Na nataka nkawaombe na kazi kabisa 🤣Safi sana mkuu, naona umewapiga kofi ukawaomba na risiti, very good
🤣🤣🤣 Mungu anakuona ujueBaada ya kukwama kwenye interview
Ni kweli, unajua katika biashara yyte watu wa markuting ndyo kichwa cha biashara, tupo na ideas nyingi ila watu wanachkulia pw na kugawiana kazi kwa connection na undugu. Sasa sio mbaya kufa nasikini na ideas kuliko kuishi masikini ukiwa unasifiwa.Kwel kabisa mkuu.
Content creator weng tunakufa maskini kwa kutoa idea ili tu tusifiwe. Bila kuangalia wazo lako ni chanzo Cha utajiri wa wengine.
OMO walikuwa balaa kwa matangazoNaomba kuwasilisha hili wakuu
Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu)
Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa iende mjini..
Ila shida inakuja je unatengeneza matangazo ya Aina gani kwa jamii gani na unataget wateja wa Aina gan?
Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani.
Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma..
Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
Content creator tengenezeni tangazo bila kuonyesha kalio bila bila kuzungumzia ngono..
Hata kama unalenga kuwafikia sana vijana au watu wa uswazi Kuna content nyingi za matangazo za kuwafikia.(Kaa chini umiza kichwa content zipo nyingi sana za matangazo ya sabuni.
Ila mkiendelea na ubunifu huo na mkaona ndio matangazo sahihi ya sabuni bas hizo sabuni ad uchaguz wa oktoba tutakuwa tushazisahau na hazitakuwa na soko.
Vipi wewe unaweza kutembea na mche wa Wasafi Soap kutoka nao dukani ad kwako bila kuuficha kwny mfuko mwngne??
Kwa mnahitaji ya;
Photographer.
Videographer.
Content creator.
Graphics designer.
Digital marketer.
0692477610
Hivi kibongobongo kwenye mbio za sabuni za kufulia za unga ni nani mshindani wa karibu na OMO? Na za mche ni nani kubwa lao?OMO walikuwa balaa kwa matangazo
Kila la kheri, endelea kujifunza na kupambana, utafika unapopataka.Sawa mkuu.
Ila Ayo ya kutuma proposal tushafanya sana.mji huu bila connection ata utume proposal 100 utoboi..
Kuhusu kukosoa ni kawaida sana ad Kuna kazi nafanya na kukosolewa ndo kujifunZa kutokana na makosa
🤣🤣Wakawauzie form five&six wana kazi nazo watazipenda zikiwa na povu

Wasipo badilika itakufa KwelIsije ikafa kama ilivyotokea kwenye sabuni ya kuogea ya REVOLA miaka hiyo.
SwadaktaNaomba kuwasilisha hili wakuu
Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu)
Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa iende mjini..
Ila shida inakuja je unatengeneza matangazo ya Aina gani kwa jamii gani na unataget wateja wa Aina gan?
Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani.
Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma..
Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
Content creator tengenezeni tangazo bila kuonyesha kalio bila bila kuzungumzia ngono..
Hata kama unalenga kuwafikia sana vijana au watu wa uswazi Kuna content nyingi za matangazo za kuwafikia.(Kaa chini umiza kichwa content zipo nyingi sana za matangazo ya sabuni.
Ila mkiendelea na ubunifu huo na mkaona ndio matangazo sahihi ya sabuni bas hizo sabuni ad uchaguz wa oktoba tutakuwa tushazisahau na hazitakuwa na soko.
Vipi wewe unaweza kutembea na mche wa Wasafi Soap kutoka nao dukani ad kwako bila kuuficha kwny mfuko mwngne??
Kwa mnahitaji ya;
Photographer.
Videographer.
Content creator.
Graphics designer.
Digital marketer.
0692477610
MPKA DK HII CONTENT CREATOR KAFANIKIWA SANA.Naomba kuwasilisha hili wakuu

Wasipo badilika itakufa kwelIsije ikafa kama ilivyotokea kwenye sabuni ya kuogea ya REVOLA miaka hiyo.
Kwa lipi?MPKA DK HII CONTENT CREATOR KAFANIKIWA SANA.
Kui-Promote bidhaa mpya sokoni.Wasipo badilika itakufa kwel
Kwa lipi?