Brand manager na digital marketing na content creator wa wasafi soap mnaua biashara ya izo sabuni

Hiyo biashara ni ngumu sana,sijui ka hizo sabuni zitaweza kuliteka soko ukizingatia kuna wachina kama Niceone na softcare tayari wako sokoni muda mrefu.naona jamaa ana pesa ila hajui wapi awekeze.
Soko gumu kwel. Bila watu wazuri kwny marketing na digital marketing. Biashara inakufa unaiona
 
Upo sahihi mno, naona clip nyingi za matangazo maudhui yake yanaashiria kama hizo sabuni ni maalum kwa kujichulia.

Athari ya hili ni kufanya hii sabuni kama kitu cha kihuni hivyo kutengwa na watu wenye staha zao ambao ndio hasa wanunuzi.
Isije ikafa kama ilivyotokea kwenye sabuni ya kuogea ya REVOLA miaka hiyo.
 
Kwel kabisa mkuu.
Content creator weng tunakufa maskini kwa kutoa idea ili tu tusifiwe. Bila kuangalia wazo lako ni chanzo Cha utajiri wa wengine.
Ni kweli, unajua katika biashara yyte watu wa markuting ndyo kichwa cha biashara, tupo na ideas nyingi ila watu wanachkulia pw na kugawiana kazi kwa connection na undugu. Sasa sio mbaya kufa nasikini na ideas kuliko kuishi masikini ukiwa unasifiwa.
 
OMO walikuwa balaa kwa matangazo
 
Sawa mkuu.
Ila Ayo ya kutuma proposal tushafanya sana.mji huu bila connection ata utume proposal 100 utoboi..
Kuhusu kukosoa ni kawaida sana ad Kuna kazi nafanya na kukosolewa ndo kujifunZa kutokana na makosa
Kila la kheri, endelea kujifunza na kupambana, utafika unapopataka.
 
Swadakta
 
MPKA DK HII CONTENT CREATOR KAFANIKIWA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…