Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
- #21
Biashara matangazoNamba 5 ndio lengo la uzi, kila lakheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara matangazoNamba 5 ndio lengo la uzi, kila lakheri.
sijapewa invoiceNaunga mkono hoja. Lilipiwe
Kumbe😝BAJAJ
Jamani hizo sio Bajaj, Bajaj ni jina la kampuni lililokua linatengeneza tu. Tena hata siku hizi hiyo kampuni haionekani, zimejaa TVS tu
Asante sana. nimejifunza kitu epsecially hilo la bukta! I didnt know. Now I know. Thank you.1. BUKTA
Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa bukta.Watu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uingereza inatengeneza nguo za michezo).
View attachment 3118656
2. KIWI
View attachment 3118657View attachment 3118658
Bidhaa hii ya kung'arishia viatu imepewa jina la mnyama aitwaye Kiwi.Kiwi hajui kukimbia kama mbuni, hajui kupaa vilevile. Ni mdhaifu sana hawezi jilinda akishambuliwa, mnyonge tu. Kuna baiolojia kubwa sana kuhusu yeye.
Hata hivyo New Zealand kiasili kwa namna ilivyokuwa kiwi ndio sehemu pekee ya wao kuishi, hata Australia.
Licha ya kuwa na bidhaa nyingi za kung'arisha viatu
3. CATERPILA
Caterpillar ni kampuni ambayo ilitoa na inatoa gari za ujenzi. Mpaka sasa hata zile ambazo sio za kampuni hiyo bado watu wanaita caterpillar. (CAT)
Kuhusu caterpillar,
Kuna heavy equipments mostly zinatumika kwenye kutengeneza barabara
Haya madude yakionekana barabarani, utawasikia watu wakisema, KATAPILA limepita, hata likiwa la brand nyingine
View attachment 3118663
4.SHELL
Shell,agip,total,BP ni jina la kampuni inayouza mafuta.
Petrol station ni jina linamaanisha sehemu wanapouza mafuta.
Ni sawa na kusema saloon,sokoni,machinjoni nk.
Watanzania wanaziita shell kwa sababu ndio kampuni pekee ya mwanzo iliyoanza kutoa huduma za kuuza mafuta nchini enzi ya mkoloni kabla ya brand zingine hivyo vituo vya mafuta waliviita shell na mpaka leo imezoeleka hivyo.
View attachment 3118665
5. NATURAL SKIN
Kampuni ya kitanzania ilojikita kwenye kutoa ushauri wa afya ya ngozi na nywele na kutengeneza bidhaa asili za mimea ili kutunza ngozi kiasili (Natural Skin) na kuzirudisha ngozi ziloathirika na vipodozi kemikali kurudi kwenye ngozi asili (Natural skin).Mpaka Leo wengi wakifika dukani husema nataka kuwa na natural skin.
View attachment 3118667View attachment 3118669View attachment 3118670
Ukimkuta mpare anavoitamka "ithemothi"Thermos wakali wakutengeneza chupa za kuhifadhi vimiminika visipoteze joto.
NakumbukaKuna kipindi maziwa ya unga watu wakawa wanasema ni nido.
bajaj, yani pikipiki ya tairi tatu kwa tz ni bajaj haijalishi mtengenezaji ni nani.
Biashara matangazo
Utaskia mpe mgonjwa pesa ya panadolPanadol ,ambapo.sjui kama ndo walikuwa watengenezaji wa kwanza wa paracetamol,kuna wengi wanatengeneza kama sheladol ,dolomol cetamol lakin zote utasikia nipe panado
konyagi wametohoa hapa cognac hizi ni brand na brand sahivi zishakuwa nyingi ila brand iliyochukua umaarufu zaidi ni Hennessy.Gongo = K-vant / Konyagi etc
hakikaKiukweli uzi ni mzuri sana
kila kitu kina siku yake ya kujuaAsante sana. nimejifunza kitu epsecially hilo la bukta! I didnt know. Now I know. Thank you.