Brand ya mavazi

Brand ya mavazi

jangala22

Senior Member
Joined
May 20, 2021
Posts
165
Reaction score
141
Habari
Nataka kuanzisha brand yangu ya mavazi hususani t-shirt kama ilivyo Kwa jux African boy, au bdozen born to shine, Kwa mwenye uzoefu na hii industry anaweza kunipa ABC mfano uagizaji wa t-shirt na vitu gani vya kuzingatia Ili kupata t-shirt zenye ubora pia wapi Kwa Tanzania wanaprint zile graphic au t-shirt zinakuja tayari zimeprintiwa kingine soko la t-shirt lipoje Kwa Tanzania
 
Mada zingine Ni pana sana mngekua mnamshikisha kwanza counter pesa ya kreti moja kwanza for mentor

Uone vile utaconnectiwa hadi na Boss Wooh shang lee mmiliki wa kiwanda cha fulana huku China kwa bei chee na ukifika idadi fulani atakuteengezea upendavyo
 
Mkuu kama una ABC unaweza kunipa darasa tafadhali
 
Kama budget yako ni ndogo, tengeneza tu designs halafu tumia kampuni za hapahapa Tanzania zinazotoa huduma za printing.

Baada ya hapo unaweza kuwa unapokea order za jumla kutoka kwa wauzaji wa maduka ya nguo.

Designs ndiyo kitu muhimu maana ndiyo kitu kitakachomvutia mtu kununua t-shirt zako.

Au kama huna mtaji kabisa unaweza kufanya print on demand ila hii soko lake kubwa ni nchi za nje.

Muhimu: Ukishapata designs zako zisajili ili uwe na haki ya kumshitaki yoyote yule atakayechapisha t-shirt kwa kutumia designs zako bila kibali.
 
Asante mkuu vipi kuhusu kupata t-shirt zenye ubora
 
Tshirts zenye ubora ambazo ni blank au Kwa lugha nyingine plain t-shirt nazipataje
 
Kama wewe sio celebrity na huna jina ukiachia mtaji wa T-Shirts na printing UTATOBOKA SANA KWENYE, PROMOTION NA BRANDING
 
Asante mkuu vipi kuhusu kupata t-shirt zenye ubora
Ubora wa T-shirt inategemea na fabric material. Kampuni nyingi za uchapishaji wanakupa chaguo kulingana na ubora unaotaka. Zipo za bei rahisi na bei ya juu ambazo zina bei zaidi.

Pia bei ya T-shirt huongezeka kulingana na teknolojia ya uchapishaji itakayotumika. Kwa hapa Tanzania unaweza kuchagua DTF au DTG itategemea na soko lako lipoje.
 
Tshirts zenye ubora ambazo ni blank au Kwa lugha nyingine plain t-shirt nazipataje
Zipo kuanzia TZS 5,000. Zinapatikana maduka mengi tu kuanzia ya nguo ila ukienda sehemu wanazotoa huduma za uchapishaji ndiyo utapata aina nyingi zaidi na utaweza kuchagua zenye kitambaa chepesi au kizito.

Kwa bei ya jumla bei inapunguza zaidi pia.
 
Ubora wa T-shirt inategemea na fabric material. Kampuni nyingi za uchapishaji wanakupa chaguo kulingana na ubora unaotaka. Zipo za bei rahisi na bei ya juu ambazo zina bei zaidi.

Pia bei ya T-shirt huongezeka kulingana na teknolojia ya uchapishaji itakayotumika. Kwa hapa Tanzania unaweza kuchagua DTF au DTG itategemea na soko lako lipoje.
Samahani mkuu t-shirt zenye ubora zinapatikana hapa Tanzania au unatakiwa uagize nje
 
Zipo kuanzia TZS 5,000. Zinapatikana maduka mengi tu kuanzia ya nguo ila ukienda sehemu wanazotoa huduma za uchapishaji ndiyo utapata aina nyingi zaidi na utaweza kuchagua zenye kitambaa chepesi au kizito.

Kwa bei ya jumla bei inapunguza zaidi pia.
Huduma ya uchapaji inafanyika hapa Tanzania au nje hapa nazungumzia chapa Bora mfano wa African boy
 
Samahani mkuu t-shirt zenye ubora zinapatikana hapa Tanzania au unatakiwa uagize nje
Zinapatkana. Kama upo Dar unaweza kuwacheki jamaa wanaitwa The Duke Media wana ofisi zao.

Au pitia Instagram page yao au website: THE DUKE MEDIA

Sijawahi kutumia huduma zao ila wana teknolojia nzuri za uchapishaji unaweza kufika hapo ukapata ABCs zaidi.
 
Kwanini usitafute utube jux kaelezea vyote ivyo jinsi African boy ilivyoanza kuwa janja search jux African boy business zitaluletea results ingia utube page iliyoverified utakuta interview
 
Huduma ya uchapaji inafanyika hapa Tanzania au nje hapa nazungumzia chapa Bora mfano wa African boy
Hapahapa Tanzania huduma inapatikana kwasababu teknolojia za uchapishaji ni zilezile labda kama unahitaji kuunda mavazi kwa maana ya ku-design mpaka muundo wa t-shirt ila kama ni kuchapisha ni hapahapa tu inawezekana.
 
Asante mkuu Kwa ushauri
 
Hiyo tamu kama tayari una fanbase kubwa, una jina au brand

Ila from scratch sikushauri mzigo utakudodea
 
Siyo lazima kuwa maarufu unaweza kuanza kwa kushirikiana na wafanya bishara unachofanya unatoa mzigo mchache tu halafu unaongea na wauza nguo unakubaliana nao kuwapa asilimia ya mauzo bila wao kununua mzigo. Asilimia unayompa ni ya kukuuzia mzigo wako tu. Kama t-shirt zako ni nzuri zitanunuliwa tu kwasababu wateja wengi wa nguo wakienda kununua hawaendi na picha ya t-shirt anayotaka ikiwa kichwani, akifika ndiyo atachagua.

Njia nyingine unaweza kutumia watu wenye influence kubwa kukutangazia kwa kuwapa t-shirt za bure na malipo kidogo: hata posts mbili kwa laki akikubali inafaa. Ila inatakiwa utafute watu ambao siyo wasanii au influencers wakubwa bila hivyo itakubidi uwe na pesa ya kutosha.

Njia nyingine unaweza kukaa na mzigo wako mwenyewe. Unatafuta models wa kuvutia hata marafiki tu unawapa pesa kidogo unawapeleka studio wanapiga picha kali halafu unatumia social media ads kutangaza brand yako. Cha muhimu models utakaowatumia uwape mkataba ambao ni wa malipo ya mara moja. Yani picha zao unazinunua na pesa watakayolipwa ndiyo hiyohiyo. Unaweza kuwapa mkataba wa picha zao kutumika kwenye matangazo ya mwaka 1.
 
Njia zote ni nzuri mkuu ila naona namba 1 na namba 2 italeta impact ingawa hapo kwenye namba Moja nawapa mzigo wenye maduka ya jumla au wa rejareja?
 
Back
Top Bottom