jangala22
Senior Member
- May 20, 2021
- 165
- 141
Habari
Nataka kuanzisha brand yangu ya mavazi hususani t-shirt kama ilivyo Kwa jux African boy, au bdozen born to shine, Kwa mwenye uzoefu na hii industry anaweza kunipa ABC mfano uagizaji wa t-shirt na vitu gani vya kuzingatia Ili kupata t-shirt zenye ubora pia wapi Kwa Tanzania wanaprint zile graphic au t-shirt zinakuja tayari zimeprintiwa kingine soko la t-shirt lipoje Kwa Tanzania