- Thread starter
- #21
Unavaa vitenge aina gani?Tulisha shtuka! Kwa nini tumtajirishe mzungu na huku vitenge vipo vizuri na mafundi wapo? Mtanzania kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavaa vitenge aina gani?Tulisha shtuka! Kwa nini tumtajirishe mzungu na huku vitenge vipo vizuri na mafundi wapo? Mtanzania kwanza
Unajua Uganda wana nguo og kutushinda sisi na mbwembwe zetu.Tatizo jingine ni serikali yetu kushindwa kusimamia uinguzaji wa bidhaa feki. Kuna feki nyingi zaidi ya genuine za bidhaa hizo kupelekea watu kutukuona umuhimu wa kuzishobokea.
Kingine ni hali yetu ya uchumi majority ni duni, hizo ni expensive products ndio maana feki ni nyingi.
Hahaaaa wakuvaa wapo aseeee.Hizo Brand bei yake ni kubwa sana ingawa ni designer wazuri. Ukileta Tanzania utavaa mwenyewe. Mara nyingi tunaangalia bei zaidi ya quality ndio maana biashara hizo hutakaa huzione Tanzania
Duh! Ni kweli kabisa ni mimi na watu walionizunguka! Huwa tuna mind sana LIABILITY and ASSETS, have a nice life!Sema "Wewe", avoid inclusive terms
Vyovyote tu! Mradi kishonwe vizuri, nilivaa sana hayo madude ni very expensive, na black Americans ndiyo ugonjwa wao! Ndiyo maana hiyo pesa kuliko kumpa Versace ni heri nikaifanyie kitu cha maana! Assets and Liabilities counts in my life!Unavaa vitenge aina gani?
Na iwe hivyo!Tanzania mavazi siyo kipaumbele
Unajua Uganda wana nguo og kutushinda sisi na mbwembwe zetu.
Lengo la kuvaa ni kujistiri tu, iwe feki iwe original, hakuna madhara yoyote ya kimwili mtu anaweza kupata kwa kuvaa nguo feki, ukisema ziletwe original tupu, sisi hohe hahe tujistiri na nini?Hii nchi imeoza sana... ndio maana huwezi ona maduka makubwa ya nguo ya brand kama hizo ambayo yako nchi nyingine. Serikali/ au taasisi husika sijui kwa kujua au kutojua wameruhusu kabis fake products kwenye soko letu. Leo nenda kariakoo, kabisa dukani unaambiwa kuna fake na genuine chagua bei? unajiuliza how come fake iko dukani? utajuaje sasa kama unachoambiwa genuine ndio fake nyingine?
Vinapitia wapi hivi vitu?
Wewe waache wanunue hayo manguo ya Gharika, sisi tutafute viwanja vya kununua!Lengo la kuvaa ni kujistiri tu, iwe feki iwe original, hakuna madhara yoyote ya kimwili mtu anaweza kupata kwa kuvaa nguo feki, ukisema ziletwe original tupu, sisi hohe hahe tujistiri na nini?
Lengo la kuvaa ni kujistiri tu, iwe feki iwe original, hakuna madhara yoyote ya kimwili mtu anaweza kupata kwa kuvaa nguo feki, ukisema ziletwe original tupu, sisi hohe hahe tujistiri na nini?
nimehamia kwa wabembe, mwendo wa kitenge tuWakuu Salaam.
Hizo brand hapo juu wana mavazi mengi sana kuanzia viatu, suruali, saa , underwear, kofia na kadhalika , cha ajabu kwa Africa ukitoa Nigeria, south africa, Uganda, egypt maeneo mengi ikiwapo Tanzania naona watu hawajishughulishi na mavazi ya hao jamaa sijui kwa nini?