Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

soda aina ya vimto,radio cassette, zile jinsi pana za q 50,tsh it za Ronaldo delima.
vimto mbona ilikuwa juu sana,tatizo nadhani walikosa mtaji tu,

ndo maana mirinda wakatoa yao mirinda nyeusi kuziba pengo,
na azam wakaja na fursana
 
Nilitegemea watu kama nyie humu. Ndo maana nasema humu wamejaa watotot wadogo sana wenye levo ya kupaswa jhwa farasa la 5 au hata la 7 make mtoto wa Darasa la Saba hawezi toa coment kama hii

ndio uhuru wa maoni ndugu... ni sawa na mimi kujiuliza wewe umemuona mdau ni chini ya darasa la 5 na kwa maandishi yako tofauti naiona ni ndogo kati yenu....
 
Huu uzi watajaa watu waliosoma na wanaosoma BBA na Marketing.
Maana nakumbuka moja ya swali la assigment tuliyopewa ni hili.Ingekuwa vizuri wachangiaji waeleze na sababu na solution yake ili kuwasaidia mameneja masoko.
 
Back
Top Bottom