Mhu! Sidhani kama wana imani imara! Ukisali kwa kufuata imani ya mchungaji, sheikh, padri, askofu, kardinali, papa umekwisha. Jenga imani yako kwa mafundisho ya Mungu na mengine yote utayashinda maana skendo ziko kila sehemu.Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.