Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Swali langu ni waliomfanyia hvo wametarget kitu gan kwenye uchaguz ambacho Gwajima anacho? Ninachoamin ni kuwa hyo ni live Gwajima alifanya uzinzi, kama ni ujasusi basi yule binti alitumiwa na mabaharia, but kiuhalisia jamaa alitongoza na demu akakubali akaenda kumla ila bahati mbaya demu alikuwa na mission zingine nyuma ya pazia....
Ni kama tu samson na delila , Majamaa walijua mdau anapenda wanawake, wakamtumia chambo akakimeza, Gwajima naye anapenda wanawake naye alitumiwa chambo akakimeza....no editing wala uchawi, kila mmoja hukamatika kwa tamaa zake, in short wamempiga pabaya sana jamaa, na inawezekana wanazo zingine wanasubir ajifarague saana ndo warelease tena


Anataka kugombea Ubunge kati ya Kawe au Kinondoni
 
Jiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Tatizo mlikimbilia ku conclude bila kusikia upande wa pili, binafsi niliwaza mtu mjanja kama Gwaji boy inakuwaje kanaswa kizembe namna ile, ila baada ya ile press yake, bashite katoka bila tena, bahati mbaya hakuna jambo lake analolianzisha na akafanikiwa, naweza kusema huyu jamaa harakati zake niza pimbi kwasababu hajawahi kufanikiwa kamwe.
 
Back
Top Bottom