Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee kumvumilia Argentina au?Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya.
Ukindoa hiyo hoja mwaka huu, Brazil wana kikosi kinachokaribia kile cha mwaka 2002 ingawa siyo kwa asilimia kubwa. Pia Argentina ana kikosi cha wapambanaji kama kile cha Maradona cha mwaka 1986.
Pia ukienda na hii rekodi ya 1998 na 2018 Ufaransa, 2002 na 2022 inaweza kuwa Brazil, wakiwa na bahati mwaka huu ni wao.
Mwaka huu moto utawaka, ila natabiri kati ya Brazil au Argentina mmoja atachukua Kombe la Dunia 2022.
Spain alipoteza maka 2010 game ya ufunguzi na badae akachukua. Kwahiyo kila kitu kinawezekana kwenye Mpira.Mbuzi Kala Mbwa.
Argentina watabeba ndoo au kufika final.Tayari Mkuu, Kati ya timu ambazo hata Robo fainali sikuzifikiria ni hii.
Argentina ya sinza labdaArgentina watabeba ndoo au kufika final.