GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe.
Mpira wa Argentina tangu unaanza tu unakupa Raha Kuutizama, husikii Njaa, huhisi Pepo wa Ukichaa Kukupanda, Maji na Juice vinashuka, Ushindi unauona mapema mno, baada ya Mechi husikii Kuchoka na Kukimbilia Chooni kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ), Sura haiwi na Usununu ( Hasira ) na unakufanya uamue idadi ya Goli za Kumfunga Mpinzani zisizoanzia na Goli 4 au 2 bali ni juu ya hapo.
Ukisomea nchini Venezuela ni raha.