BRAZIL: Mtanzania, Felix Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 katika Marathon za Olimpiki

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mtanzania Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 Marathon Olympics, haijapita kutokea.

Juma Ikangaa aliwahi kushika nafasi ya 6. Mtangazaji alisema they say in Tanzania Hapa Kazi Tu!!

Kumbe slogan ya JPM imesambaa ulimwengu mzima. Congrats Simbu

IMG-20160821-WA0077.jpg

ALPHONCE FELIX SIMBU NA WENZAKE WATAWASILI TANZANIA TAREHE 25 AUGUST, SIKU YA ALHAMISI SAA NANE KAMILI MCHANA.

Tangu 1964 kwenye olympic ni mara ya kwanza Mtanzania kushika namba tano.
 
Jamaa kajitahidi mana mbio hizi nimeziangalia mwanzo mwisho..ila Kipuchoge ni untouchable asee
 
Tunajifariji. Kwenye olimpiki wanahesabu medali zilizotwaliwa sio kujitahidi. Zipo tatu, Dhahabu, Fedha na Shaba. Sasa hapo tumetwaa ipi? Je, tulipeleka timu kujaribu au kushindania medali? Tukubali tu kuwa tumeshindwa, tuchambue udhaifu wetu halafu tupange mikakati inayotekelezeka ya kutwaa medali kwenye mashindano yajayo. Tuache kujidanganya.
 
Kulikuwa na wakenya watatu, wawili walishndwa kumaliza. Hata hifyo kulikuwa na jamaa anaitwa Evans Kiplagat ambaye naamini ni mkenya kwa sura na kwa jina, lakini alitangazwa kama mtu wa Azerbaijan!.

Watanzania wote watatu walimaliza ila mmoja alikuwa wa mia moja na ushee huko, yaani karibu sana na mkiani!
 
Tunajifariji. Kwenye olimpiki wanahesabu medali zilizotwaliwa sio kujitahidi. Zipo tatu, Dhahabu, Fedha na Shaba. Sasa hapo tumetwaa ipi? Je, tulipeleka timu kujaribu au kushindania medali? Tukubali tu kuwa tumeshindwa, tuchambue udhaifu wetu halafu tupange mikakati inayotekelezeka ya kutwaa medali kwenye mashindano yajayo. Tuache kujidanganya.
Badala ya kupewa Pongezi wengine wamekalia majungu tu
 
Nasikia gidabudai alishiriki kuiandaa hii timu ya Olympic kwa upande wa riadha, ina maana makelele yake ya kumshutumu Filbert Bayi yamedhihirisha kuwa naye hamna kitu.
Duh!!!
Tusubirini Labda tutapewa medali mezani.
 
you just made my day, jamani nimecheka mpaka nimelia kwa comment yako, kwa kweli huu ndio ukweli halisi, watanzania tumezidi sanaana mishaua hata kwenye mambo ya maana, hatuna class, hatufuati vigezo, tumekua si tu kichwa cha mwendawazimu, lakini mwili wote ni mwendawazimu
 
Nashindwa kabisa kusema kusifia mtu hapati medali yeyote ila tunajadili kujitahidi pale sio eneo la ajali pale watu wanapambanaa eti kiume, sasa unaanza kusifia chenga wakati huna goli, ? Tukae chini tulie na nafsi zetu zinazoshindwa kila Leo.
 
Back
Top Bottom