Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu atayajibu magazeti sa ngapi? Kwenye issue ksma hizi hutamuona Nape.. Ukitaka kumuona Nape gazeti limuandike jpm vibayaNape: Chukua huyu jamaa na yule dada wa kichaga wa kuogelea (Ingawa anaongea kiswangish) waweke kambini mpaka Olympic ijayo.
Kopaa ya goba AMA mbweni ukipenda MPE ya bunjuKwa nafasi hio labda apewe medali ya copper.
Juma Ikangaa aliwahi kushika nafasi ya 6.