ahaahhaKwa nafasi hio labda apewe medali ya copper.
Kwa nafasi hio labda apewe medali ya copper.
Tuwe wakweli hio nafasi haina maana kwa taifa kama TanzaniaUmeua Mkuu,The bold atakuja kumhoji then bonge ya hadithi nyuma yake.Tukae mkao wa kula.
Badala ya kupewa Pongezi wengine wamekalia majungu tuTunajifariji. Kwenye olimpiki wanahesabu medali zilizotwaliwa sio kujitahidi. Zipo tatu, Dhahabu, Fedha na Shaba. Sasa hapo tumetwaa ipi? Je, tulipeleka timu kujaribu au kushindania medali? Tukubali tu kuwa tumeshindwa, tuchambue udhaifu wetu halafu tupange mikakati inayotekelezeka ya kutwaa medali kwenye mashindano yajayo. Tuache kujidanganya.
you just made my day, jamani nimecheka mpaka nimelia kwa comment yako, kwa kweli huu ndio ukweli halisi, watanzania tumezidi sanaana mishaua hata kwenye mambo ya maana, hatuna class, hatufuati vigezo, tumekua si tu kichwa cha mwendawazimu, lakini mwili wote ni mwendawazimuTunajifariji. Kwenye olimpiki wanahesabu medali zilizotwaliwa sio kujitahidi. Zipo tatu, Dhahabu, Fedha na Shaba. Sasa hapo tumetwaa ipi? Je, tulipeleka timu kujaribu au kushindania medali? Tukubali tu kuwa tumeshindwa, tuchambue udhaifu wetu halafu tupange mikakati inayotekelezeka ya kutwaa medali kwenye mashindano yajayo. Tuache kujidanganya.