Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mabaki ya Ndege ya Voepass baada ya ajali
Ndege ya Voepass kabla ya ajali
Video iliorushwa na TV GloboNews umeonyesha eneo kubwa likiwa kwenye moto na moshi ukionekana kupanda kutoka kwenye kitu kinachoonekana kuwa fuselaji ya ndege.
Video kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha ndege ikianguka kwa kasi kuelekea ardhini. Idara ya zimamoto ya eneo hilo ilithibitisha kuwa ndege hiyo ilianguka katika mji wa Vinhedo.
Watu 62 waliokuwa kwenye ndege ya Voepass walijumuisha wafanyakazi wa ndege. Voepass imesema bado haina taarifa juu ya iwapo kuna vifo au majeruhi.
Soma Pia: Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu
---
A passenger plane carrying 62 people has crashed in Sao Paulo, Brazil.
Footage broadcast by TV GloboNews showed a large area on fire and smoke appearing to billow from an apparent plane fuselage.
Video on social media showed an aircraft falling at speed towards the ground.
The local firefighters corps confirmed that the plane fell in the city of Vinhedo.
The 62 people on board the Voepass flight included crew members.
Voepass said it does not yet have an update on whether there have been fatalities or injuries.