Brazil: Ndege yanye abiria 62 yapata ajali mjini Sao Paulo, hakuna aliyenusurika

Hii si ndiyo design ya hizi za Precision Tanzania
  1. Kuna moja ilipasuka tyres ikitua Arusha
  2. Ilitua KIA tyre ya mbele iligoma kutoka ikasotea kidevu
  3. Ilizimika injini ikiwa inaelekea kutua KIA
  4. Ili ditch lake Victoria
 
Natamani kama Mungu kapanga kifo changu basi kiwe kwa ajali ya ndege. Sipendi kifo cha mateso ya magonjwa au ajali itakayonimeza taratibu..

Nataka ghafla bin vuup, roho imenitoka.

Hakuna cha mateso makali huku unasubiri kifo.
 
Tahadhari video zinatisha

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Inahuzunisha. Inaonekana abiria walikufa kwa presha hata kabla haijatua na kulipuka. Lakin walipangiwa watakufa hivyo pindi tu walipozaliwa. God have mercy on their souls.

JF top aviation expert

ngenya Ncha Kali
 
Ili flat spin so mtu kuokoka kwenye ajali ya namna hii huwa ni ndogo
 
Natamani kama Mungu kapanga kifo changu basi kiwe kwa ajali ya ndege. Sipendi kifo cha mateso ya magonjwa au ajali itakayonimeza taratibu..

Nataka ghafla bin vuup, roho imenitoka.

Hakuna cha mateso makali huku unasubiri kifo.
Oya hayo ma cassena single engines mnayotoka nayo Ottawa hadi manitoba kumfanyia figisu Justin Tradiue siku moja
 
Tunaomba majina ya abiria na makabila yao.
 
... at the moment abiria wanapogundua wako ajalini sijui psychologically wanakuwa katika hali gani! The hardest and saddest moment in life!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…