Hahahahaha... Mkuu, walau umenifanya nicheke tu!Golikipa wa Tanzania ni bure kabisa; magoli mawili nilyoona ya mwisho yalikuwa ya kitoto kabisa
Sikonge unazidi kuzivunja mbavu zangu mie; walau tufungwe hata 10 hivi ili iingie kwenye historia vizuri na Dunia itukumbuke!Kikwete " Lile goli la Kaka, litaonyeshwa dunia nzima ....." Kichapo kinaendela, sasa 4-0.
Kwanza 411 nilizopata nikwamba hakuna umeme uwanjani..wanatumia generator na vyoo ni vichafu vya kufa mtu...mtu unalipa tsh 150,000 kwenda kuenjoy game matokeo yake ukakereka....whats up TFF mein you could do better than dat
daaayuuum 4-0...yaani nimetabiri tutafingw amore than 4 and ina happen i am good aiseee!
Kiongodhi labda watz walithoma udhi wa mzee Gembe hapa Jei Efu..T I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?
hUYO Golikipa anaitwa nani vile?
unautani naona na mkulu!kuna wazembe wameenda na SUTI uwanjani!!
mwalimu uwanja is only half full (or empty) na kama Brazil imeshindwa kuujaza huo uwanja sijui timu gani duniani inaweza kuujaza!!
we should not under-estimate power ya JF.Kiongodhi labda watz walithoma udhi wa mzee Gembe hapa Jei Efu..
BHangi Bahngi za vijana wetu..