Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Golikipa wa Tanzania ni bure kabisa; magoli mawili nilyoona ya mwisho yalikuwa ya kitoto kabisa
Hahahahaha... Mkuu, walau umenifanya nicheke tu!

Kikwete " Lile goli la Kaka, litaonyeshwa dunia nzima ....." Kichapo kinaendela, sasa 4-0.
Sikonge unazidi kuzivunja mbavu zangu mie; walau tufungwe hata 10 hivi ili iingie kwenye historia vizuri na Dunia itukumbuke!
 
Kwanza 411 nilizopata nikwamba hakuna umeme uwanjani..wanatumia generator na vyoo ni vichafu vya kufa mtu...mtu unalipa tsh 150,000 kwenda kuenjoy game matokeo yake ukakereka....whats up TFF mein you could do better than dat

daaayuuum 4-0...yaani nimetabiri tutafingw amore than 4 and ina happen i am good aiseee!

Ai jamani Binti hapo kwenye avatar yako hapooooooooooooooooo. Hii hoteli ya juniour ama. Miye mgonjwa wa hizi hotel jamani
 
T I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?
Kiongodhi labda watz walithoma udhi wa mzee Gembe hapa Jei Efu..
 
mwalimu uwanja is only half full (or empty) na kama Brazil imeshindwa kuujaza huo uwanja sijui timu gani duniani inaweza kuujaza!!

tatizo sio kutokutaka kuona Brazil, tatizo ni hiyo bei ya kuingia uwanjani ni sawa na mshahara wa mtu wa mwezi au nusu yake. Hao unaowaona humo uwanjani wanarepresent mambo safi ingawa kuna complementary tickects kibao zilizotolewa na makampuni mbalimbali.

Kiufupi, hii mechi inareflect hali ya uchumi ya wananchi.
 
105000-30,000=Tshs, 70,500.Hizo zilizobaki hazitoshi kwa mwezi mgumu kama huu.Ukizingatia serikali inabana matumizi..,wamepiga marufuka demina,safari za ndani na nje kwa wafanyakazi wa serikali..,walikuwa wanaota kuzania kuna mlalaahoi ataenda humo uwanjani.
 
BHangi Bahngi za vijana wetu..

hahaaaa, jamaa alijua mshkaji atakua na saa na cheni!!! Bongo nyu yok mazee!!! laki unusu kwisha...

masaa manne barabarani, mawili kushangaa na manne tena barabarani... kweli tuko juu
 
Gooollllllll

Namshukuru sana yule mcheazji namba 21 aliyesababisha kona ile
 
Walau wakumbuke kufungwa na wao!! Historia ni kuwa mara ya mwisho walifungwa Oktoba!!
 
Back
Top Bottom