Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Live on TV @ 1600hrs UK time, on Monday, 07 June
ESPN UK
Aljazira Sports +1.
* utabiri: TZ 0-4 Brazil ?
T I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?
tatizo sio kutokutaka kuona Brazil, tatizo ni hiyo bei ya kuingia uwanjani ni sawa na mshahara wa mtu wa mwezi au nusu yake. Hao unaowaona humo uwanjani wanarepresent mambo safi ingawa kuna complementary tickects kibao zilizotolewa na makampuni mbalimbali.
Kiufupi, hii mechi inareflect hali ya uchumi ya wananchi.
Inaelekea hii kuwa kweliTaifa Stars 1 - 7 Brazil