Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Naskia brazil hawajawahi kufungwa toka oktoba mwaka jana na hili la Jabir ni l kwanza toka muda huo
 
T I R E D . . . . . Uwanja mbona hauna 'nyomi'? Matangazo yote ya Clouds FM, Mil 90 za Manji, Matangazo ya TBC1 etc bado watu hawakuingia kuujaza? What went wrong?

Wameingia wenye nazo. Actually mechi iliandaliwa special kwa ajili ya matajiri. Na matajiri wenyewe si unajua wapo wachache nchi hii.
Hata hivyo nafurahi kwamba japo tumefanikiwa kufunga goli moja. Tuondoe aibu ya kwamba hatuwezi kabisa kuifunga Brazil.
 
haaaa. waaaahaaa..wajitahidi vijana kurudisha gharama zetu kidogo duh.
 
tatizo sio kutokutaka kuona Brazil, tatizo ni hiyo bei ya kuingia uwanjani ni sawa na mshahara wa mtu wa mwezi au nusu yake. Hao unaowaona humo uwanjani wanarepresent mambo safi ingawa kuna complementary tickects kibao zilizotolewa na makampuni mbalimbali.

Kiufupi, hii mechi inareflect hali ya uchumi ya wananchi.

Mkuu, i can tell you that watu wengi wameishia kwenye foleni!!! poor logistics zimeua bongo brazil game. we didnt prepare well walioondoka saa tisa maeneo ya oysterbay, walikwama maeneo ya stesheni hadi round about ya kurasini hadi kumi na mbili kasoro...

Poor logistics zimeisimamisha kigamboni na wale wagonjwa wanaokimbizwa muhimbili kutoka kisiwani sijui kama waliweza kufika to their destination

Kibaya zaidi pesa ishaenda na watu watasema --- it was a great accomplishment!!!
 
angalau napumua sasa na hili goli la kufuta machozi lol
 
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
 
Huyu Kipa wajemeni vipi..kibonge anatutia aibu tupu..kudadadeki.
 
jamani huyu golikipa ndo nini?kwanza sijawai msikia hasilani
kweli kuuza nyago tu hapa
 
Aise bado wanaendelea kutufunga? duh! halafu Alves anakazi kweli leo, vijana wanataka kumvunja.
 
Back
Top Bottom