Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
USD 2.5 mil gone plus a bonus ya goli 5. Hii ndio watu wa pwani twaita kukandwa maji umekandwa na mtoto umemkosa..
lakini yule keeper wetu bora wangesimamisha mti mle ndani
Ikiwa nchi ya Zimbabwe inayoendeshwa kwa martial law imeshindwa kurejesha gharama, sie tulojaa wasanii tutaeza?Tusubiri sasa mahesabu ya mpato yatatolewa baada ya wiki mbili
Brazil is a bit lazy today, au hali ya hewa
Nimeangalia mchezo wote; mchezo ule umerushwa na TV nyingi sana duniani kutokana na umaarufu wake No1 playing aginst No 108. Ingawa uwanja ule ulikuwa unaonekana mzuri, lakini matangazo yote pale uwanjani yalikuwa hayaitangazi Tanzania kwa vyovyote vileNina hasira za dhati kwa walioandaa hii mechi bila kutangaza vivutio vyetu ipasavyo.Hakuna Kilimanjaro,zanzibar,manyara,ngorongoro,gombe,ruaha....,hyo mjinga aliyeweka tangazo la Serengeti as if liko indoor ana matatizo ya akili.
Ni wakati muafaka hawa wazee wakaondoka sasa na hayo matoto yao yasiyo na kitu kichwani wakayaache yaendelea kupumzika kwenye masofa nyumbani.This was a big opportunity lost.
huyu namba 9 ni mchezaji gani??
Hivi kwa nini wasingechora/project picha ya mlima kilimanjaro/jina la mlima kilimanjaro pale katikati ya pitch?!kila mtu angejiuliza kile ni kitu gani?goole search za kilimanjaro zingekuwa all time high=Better awareness.
There are currently 163 users browsing this thread. (70 members and 93 guests)
- Nemesis
- Njaa
- anyisile obheli
- Vangi
- Papizo
- Abdulhalim
- Kichuguu
- Malyamungu
- Bubu Ataka Kusema
- Junius
- lagusya
- Ama
- Cynic
- MziziMkavu
- Balantanda+
- Arsene Wenger
- Mtuwamungu
- Hofstede
- MkamaP
- 911
- Kimweri
- Baba Mkubwa
- Aza
- Victorina
- Luteni
- kasimba123
- MpigaFilimbi
- Zhule
- Konaball
- Mndundu
- RayB
- Kang
- ngoshwe
- Mdondoaji
- Nwaigwe
- Economist
- Edgartz
- JuaKali
- stringerbell
- Mfunyukuzi
- Mkora
- matambo
- Kingi
- CarthbertL
- Nandoa
- Tiba
- SN_VijanaFM
- Magezi
- Natasha Ismail
- genekai
- Mshirazi
- Ngambo Ngali
- Kudi Shauri
- Belo
- Malila
- PGW
- Companero
- Wanzagi
- Mfamaji
- Chumakibolimoto
- Jungumawe
- Jahom
- Mbassa
- BabuK
- JoJiPoJi
- MI5
kwani nyinyi mlitaka matokeo au mlitaka Brazil waje muwaone tu? wamekuja mmewaona mambo mengine yote ni irrelevant.