Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335
I don't know the credibilty of this Australian website, but that is what they are claiming.

Brazil to play Tanzania, Zimbabwe friend
07:19 AEST Tue May 25 2010

Brazil are to play friendly matches against Tanzania and Zimbabwe before heading into the World Cup tournament in South Africa, Brazilian football officials said Monday.

The games are to be announced formally later on, when all the required documents have been sent by the respective football federations, the sources in the Brazilian Football Confederation said.

The games, they said, will take place on June 2 and 7 - ahead of Brazil's first World Cup match on June 15 against North Korea.

Brazil is currently training in the southern Brazilian city of Curitiba and is to leave for South Africa on Wednesday.

Brazil to play Tanzania, Zimbabwe friend
 
Now there is a Portuguese site claiming the same thing.

If true TFF, Kikwete and especially Maximo need to be congratulated. They have been campaigning for quite a while for this to happen.

Those traffic jams in Dar will be breathtaking. LOL!
 
Timu ya taifa ya Brasil (Samba Boys) inatarajiwa kucheza na Taifa Stars katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika tarehe 7 June 2010. Mechi hiyo itakayokuwa ya mwisho kwa Brasil kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia, inatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na balozi wa Brasil nchini Tanzania alipokuwa akizungumza na gazeti la The Citizen, ambapo alisema taarifa kamili na mipango mingine kuhusiana na hiyo mechi itatolewa na Rais wa TFF ndugu Tenga.

Source: The Citizen of 25 June, 2010
 
Nani anawaleta?
Wanasiasa wanaweza tumia hiyo kama mtaji wa kisiasa.
 
Tunawakaribisha hawa majamaa hapa jiji kunuka.
 
Yeah hii itakuwa chance na sie tusio na uwezo wa kwenda South tuwaone Brazil;

Habari kamili....

4bfae3b6128a0.gif

Brazil to play Tanzania, Zimbabwe friendlies
May 25, 2010

Brazil are to play friendly matches against Tanzania and Zimbabwe before heading into the World Cup tournament in South Africa, Brazilian football officials said Monday. The games are to be announced formally later on, when all the required documents have been sent by the respective football federations, the sources in the Brazilian Football Confederation said.
The friendlies, they said, will take place on June 2 and 7 - ahead of Brazil's first World Cup match on June 15 against North Korea.
Brazil is currently trainining in the southern Brazilian city of Curitiba and is to leave for South Africa on Wednesday.

SOURCE AFP NEWS
 
Taarifa niliyoisoma haijazungumzia logistic za kuja kwao, alichosema Balozi ni kwamba Rais Tenga ndo atakaye toa taarifa zote kiundani!!

Kuhusu wanasiasa ku capitalize kwenye suala hili, naona kama iko wazi. Si unajua wanasiasa wetu....ubunifu zero!!

Usishangae Prezidaa akamwandalia state dinner Dunga na Kaka!!
 
Ni bora niende kuangalia mazoezi ya abajalo ktk uwanja mashujaa sinza kuliko kwenda kuwaangalia brazil pasipo saint gaucho ambaye anaaminika kuwa ndiye balozi wa soka la mbinguni hapa duniani.
 
its good idea kwani ni nafasi kwa timu yetu changa kuonekena ktk anga za kimataifa ktk medani ya soccer
 
Ni kweli wabongo wengi watapata nafasi ya kuwaona world class players!!

Binafsi nina hamu ya kuongea na beki wa katikati asiyepitika kirahisi Lucio na golikipa namba moja duniani Cesar!!

They really got me crazy during their match against Chersea, Barcelona and Bayern Munich!!
 
Taarifa niliyoisoma haijazungumzia logistic za kuja kwao, alichosema Balozi ni kwamba Rais Tenga ndo atakaye toa taarifa zote kiundani!!

Kuhusu wanasiasa ku capitalize kwenye suala hili, naona kama iko wazi. Si unajua wanasiasa wetu....ubunifu zero!!

Usishangae Prezidaa akamwandalia state dinner Dunga na Kaka!!

mkuu habari hiyo hapo juu toka AFP one of the world's reliable source
 
Well timu yetu itasikika; anything else tutakacho gaina hapa?:angry::angry: Yaani sie ni kama punching bag tu la Evander!
 
Mi nashauri tiketi zianze kuuzwa wiki hii ili kuepuka ulanguzi wa tiketi, na kupelekea watu wa mikoani kukosa kuiona mechi hiyo muhimu kwa wapenda soka.
 
Timu ya taifa ya Brasil (Samba Boys) inatarajiwa kucheza na Taifa Stars katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika tarehe 7 June 2010. Mechi hiyo itakayokuwa ya mwisho kwa Brasil kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia, inatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na balozi wa Brasil nchini Tanzania alipokuwa akizungumza na gazeti la The Citizen, ambapo alisema taarifa kamili na mipango mingine kuhusiana na hiyo mechi itatolewa na Rais wa TFF ndugu Tenga.

Source: The Citizen of 25 June, 2010

Brazil we know?no matter what hata kama ni kisiasa tuta-enjoy de value of our stolen money......nahofia isije ikawa kama tulivyosikia presidaa bro JK kuwa REAL MADRID wangetua TZ mpaka leo hata hao Portsmouth hawajafika, au wasije waleta wakina Rolaldhino na akina Pato walioachwa timu ya taifa.
 
Mboni Masimba MALAYA CLASS A Tender hiyoooooooooooo kama nakuona ukiopoa Kaka duh noma Kaka mlokole itabidi tu uruke na Lucio maana lazima Etoo atamtonya
 
Kwa jinsi mkwere anavyopenda kujikweza lazima atazuka kwa uwanja kama alivyofanya kwa ivorycoast!..Waje nasi tusafishe macho kuona samba iila Ni ukweli usiopingika kwamba Gaucho kukosekana kwake kunaondoa ladha ingawa ndio Brazil inavijana wengi wenye vipawa vya soka..huu ndo muda wa tanzania kujiuza na uwanja wetu wakichina!!
 
Mboni Masimba MALAYA CLASS A Tender hiyoooooooooooo kama nakuona ukiopoa Kaka duh noma Kaka mlokole itabidi tu uruke na Lucio maana lazima Etoo atamtonya

Umesahau kuwa Kaka ni mlokole labda atanasa kwa Robinho
 
Kweli kaka una mapenzi ya kufa kwa Ronaldihno Gaucho!!! Uoni wala uambiwi kitu, nafikiri unatamani hata angeitwa peke yake na Cesar....na timu ingefanya vizuri!! Loh
 
Kama nawaona dada zetu kina Mboni Masimba na Mange waki strategise namna ya kumkamata Kaka na Robinho kimahaba!!

Kaeni mbali na Kaka jamani coz jamaa ni mlokole wa ukweli!!
 
Back
Top Bottom