Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

mbona uwanja hauja jaa? kama hawakuweza kuuza ticket si wafungulie mbwa tu sasa hivi watanzania wale jasho lao.


naona njasigwa anajipiga chenga mwenyewe lol.
 
Tunajitahidi hadi sasa, naona uwanja umepwaya maeneo fulani, wamepanga vibaya bei.
 
Tanzania 0 - Brazil 1

Lakini so far vijana wanacheza vizuri kidogo


Robinho amefanya kazi
 
Technolojia ya replay haijafika bongo au?
 
Uchumi wa Tanzania umejidhihirisha wenyewe..,hao mafisadi wanaona 30,000 ni kama hela ya chai.ndio maana halisi ya ku-loose touch with reality.
uchumi wa tanzania=soka ya tanzania,vyote viko hoi.
 
Kilio Robinho tayari,nahisi hata JK anashabikia Brazil
 
Halafu kule uwanja naona haujajaa kama walivyokuwa wanatangaza
 
Back
Top Bottom