Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Alafu huyu dogo namba 7 ni nani ?Maana naona anapiga mpira vizuri sana
 
,bona sioni bano la kutangaza mlima kilimanjaro pembeni? naona gatorade na mengine kibao kweli utalii tunajua kuutangaza.

mtangazaji wa espn kiboko lol.
 
Alafu wale wachawi waliohidiwa hela wako wapi??Mbona sijawasikia tena?Hahaha
 
Brazil wakicheza hivi hawafiki popote World Cup..


Mkuu hicho sio kikosi chao kamili hapo kuna Alves yupo nje na wengine wazuri tu,Na brazil huwa wanacheza mpira kutokana na timu inavyocheza.
 
Huyo mpuuzi aliyeweka Tangazo la Serengeti marketing 101 kajidunzia wapi?anatakiwa afukuzwe kazi mara moja.
 
Alafu huyu dogo namba 7 ni nani ?Maana naona anapiga mpira vizuri sana

Nadhani ni Nizar
Ngasa anacheza mpira mzuri sana, wanashindwa ujanja wa kummaliza Gomez, ila kumtesa wanamtesa sana tu.
 
Back
Top Bottom