Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Tunaangalia mpira tofauti! Tanzania 1 Brazil 0
Defence wakiendelea na mpira huu tutachapwa nyingi leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaangalia mpira tofauti! Tanzania 1 Brazil 0
Waangalizia kupitia wapiTunaangalia mpira tofauti! Tanzania 1 Brazil 0
Aisee sijachapwa bana..amechapwa JK na Stars yake
Brazil wakicheza hivi hawafiki popote World Cup..
Why the stadium is empty?
kampeni ya JF kutaka watu wasiende kuangalia mechi imefanya kazi lol ukitoa kiingilio kikubwa lol.Why the stadium is empty?
Alafu huyu dogo namba 7 ni nani ?Maana naona anapiga mpira vizuri sana
Alafu huyu dogo namba 7 ni nani ?Maana naona anapiga mpira vizuri sana