Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Nimegundua kuna wachezaji wanataka kujiuza(advertise)..,they play well lakini no team work.
 
Hii ndio game ya mwisho ya Maximo?
 
Mkuu hicho sio kikosi chao kamili hapo kuna Alves yupo nje na wengine wazuri tu,Na brazil huwa wanacheza mpira kutokana na timu inavyocheza.

Beki 2 first 11 ni Douglas Maicon beki kutoka mabingwa wa Ulaya FC Internazionale Milan, ambaye yupo uwanjani hivi sasa.
 
Nadhani ni Nizar
Ngasa anacheza mpira mzuri sana, wanashindwa ujanja wa kummaliza Gomez, ila kumtesa wanamtesa sana tu.

Huyo dogo namba 7 anapiga mpira pamoja na ngasa,Mpira wanacheza vizuri il wajitahidi tu na pia hawana mpira wa kushirikiana
 
Huyu Ngassa ndo kishuti gani sasa hiki?
 
Tanzania 0- Brazi 2

Nimetoka kusema hapa defence haipo makini kabisa yaani
 
Back
Top Bottom