Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii jezi ya stars ni mpya?
Atakuwa mchezaji wa Yanga!
Mkuu hicho sio kikosi chao kamili hapo kuna Alves yupo nje na wengine wazuri tu,Na brazil huwa wanacheza mpira kutokana na timu inavyocheza.
Brazil wakicheza hivi hawafiki popote World Cup..
ukicheza na timu mbovu na wewe unaonekana mbovu pia lol.
Nadhani ni Nizar
Ngasa anacheza mpira mzuri sana, wanashindwa ujanja wa kummaliza Gomez, ila kumtesa wanamtesa sana tu.
Nadhani ni Nizar
Ngasa anacheza mpira mzuri sana, wanashindwa ujanja wa kummaliza Gomez, ila kumtesa wanamtesa sana tu.
kwani kiingilio kiasi gani?na kima cha mshahara wa chini wanalipa ngapi siku hizi huko bongo?Kwa sababu wajasiriamali wameweka kiingilio kisichoweza kufikiwa na walengwa..
Brazil is a bit lazy today, au hali ya hewa